Apps za SimuIntaneti

Top 10 Android App Updates Wiki Hii: Snapchat, Google, GroupMe

Karibu tena kwenye safu yetu ya kila wiki  Top 10 Android App Updates , ambapo tunaangalia programu/apps nyingi zilizoboreshwa wiki hii. Tumegundua kwamba moja ya njia bora ya kugundua programu muhimu ni kutafuta zile ambazo zimefanyiwa update na waendelezaji (developers) badala ya kuchagua programu/app zilizo pakuliwa zaidi.

Kama ilivyokuwa hapo mwanzo, tutafafanua masasisho madogo kwenye programu zinazojulikana sana ambazo zimepakuliwa zaidi ya mara milioni 10, lakini tutaongeza baadhi ya app ambazo zimekuwa na masasisho muhimu lakini bado hazijawa na watumiaji wengi. Tunatarajia utafurahia kipengele hiki cha kila wiki ndani ya Mediahuru na utakutana na baadhi ya programu ambazo zina muhimu.

AliExpress Shopping – Version 5.3.4

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Ufafanuzi zaidi wa hali ya refund / hali.
 • Fanya checkout kwa urahisi bila kujisajiri
 • Matangazo mapya kila siku yakiwa na kuponi na zawadi nyingine.

(Play Store)

Hulu – Version 3.4.2

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Inasupport landscape na Portrait kwajili ya Chromecast
 • Ujumbe wa ERROR wakati wa kucheza video umeboreshwa
 • kuboreshwa kwa Usability
 • Bug fixes

Cheetah Keyboard – Version 2.4.3

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Imeongeza usahihi wa “auto correction”
 • Imeongeza kasi ya kuanza
 • Imeongeza “prediction function” katika sanduku la utafutaji
 • Imeongeza mandhari/themes zaidi za bure
 • Marekebisho ya Bug
SOMA NA HII:  Idadi ya Kushusha App Duniani Imefikia bilioni 175 mwaka 2017, Fahamu Nchi Inayoongoza

(Play Store)

CNN Breaking US & World News – Version 5.4.0

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Kurejesha kwa CNN Android widget, ikiwa na utendaji wa ziada – nafikiri utaipenda!
 • Pia sasa inasupport Chromecast kwajili ya live TV na vipindi kamili.

(Play Store)

AirDroid: Remote access & File – Version 4.1.3

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Imeongezwa support ya “View Only Mode (non-root)” kwajili ya wateja wa Windows na Mac.
 • Imeboreshwa ufanyaji kazi na Android O.
 • Marekebisho ya Bug fixes na maboresho mengine

(Play Store)

Google News & Weather – Version 3.1.4

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Habari nyingi zaidi zimeongezwa kwenye ukurasa wa Mwanzo zikiwa kwenye mpangilio mzuri wa kuvinjari. Tembea vichwa vingi vya habari za Biashara, Tech, Burudani, Michezo na sehemu nyingine, zilizowekwa na kuchapishwa katika mfumo rahisi kwa mtumiaji.
 • Marekebisho ya Bug na mabadiliko ya vipengele vingine vidogo.

(Play Store)

Samsung Flow – Version 2.0.36

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Vifaa vingi zaidi sasa vinaweza kufanya kazi na Samsung Flow.
 • Njia mpya ya uthibitisho (kufungua kwa urahisi)
 • Imeboreshwa UX

(Play Store)

Chomp SMS – Version 7.17.0

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Umeongezwa msaada kwa simu kubwa kama vile Samsung Galaxy S8 mpya na S8 +.
 • Maboresho ya Bug fixes (searching, notification privacy, force closes, pasting crash).
SOMA NA HII:  Google itahamasisha wafanyakazi 10,000 kuboresha video za YouTube

(Play Store)

GroupMe – Version 5.10.1

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Leta furaha kwenye mazungumzo yako na keyboards za picha! GroupMe sasa inawezesha utumaji wa picha moja kwa moja kutoka kwenye keyboards kama ilivyo kwa GBoard au SwiftKey.
 • Maboresho ya ubora na ukamilifu wakati unapakia(upload) picha / video
 • Maboresho ya ziada na TalkBack
 • Marekebisho ya bug & maboresho mengine

(Play Store)

Snapchat – Version 5.0.107

Kitu gani kipya kwenye toleo hili:

 • Unda Geofilter kwa ajili ya harusi yako, tukio, au uhitimu ndani ya Snapchat – na inanzia $ 5.99! Gonga ‘On-Demand Geofilters’ kwenye mipangilio kuanza kutumia.
 • Gonga Paperclip ili kusanisha(attach) tovuti kwenye Snap yako. Marafiki wanaweza kugeuza ili uione!
 • Ongeza Backdrops kwenye Snaps yako. Gonga icon mpya ndani ya chombo cha Scissors ili kujaribu.
 • Changanya jinsi wewe na rafiki yako mnavyosikia kupitia Filters za Sauti.

(Play Store)

Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako