Apple iOSHabari za Teknolojia

Maneno ya CEO wa Apple, “Tim Cook” na stori ya kuwa alikuwa mtumiaji wa Windows

Tim Cook, CEO wa Apple hakuweza kujizuia mwenyewe wakati anazungumza kwenye MIT Commencement, zaidi ya kuzungumzia historia ya Apple na uzoefu wake na mwanzilishi mwenzake Steve Jobs,Cook pia aliitumia nafasi hiyo kutoa utani kuhusu Microsoft.

Alianza kuzungumza kwenye MIT Commencement 2017 kwa kusema kwamba inachukua muda kupata njia yako katika maisha. Pia alitoa “quotes” zinazoleta msukumo kwenye maisha kama hizi:

“Measure your impact on humanity not in likes but in the lives you touch, not in popularity but the people you serve.”

na hii hapa:

“I found my life got bigger when I stopped caring about what people thought of me.”

Cook pia alizungumza kuhusu wakati ambao yeye alichanganyikiwa na wakati anakumbuka kipindi hicho, alizungumza haya:

“I tried meditation. I sought guidance and religion. I read great philosophers and authors. In a moment of youthful indiscretion, I might even have experimented with a Windows PC. And obviously, that didn’t work.”

Angalia video yake hapa chini:

SOMA NA HII:  SUA kuokoa asilimia 40 ya mazao yanayoharibiwa na panya shambani

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako