Home Nyingine #ThrowbackThursday!! Hawa ni mastaa gani wa bongo fleva ?

#ThrowbackThursday!! Hawa ni mastaa gani wa bongo fleva ?

0
0

Habari wadau leo ni alhamisi nyingine na ni muda wa kumbuka matukio ya zamani kwenye muziki wa bongo fleva, Kitambo hicho wakati wanaume walikua wavulana na wanawake walikua wasichana angalia mastaa wetu wanavyotoka mbali.

Bila ya kupoteza muda, hawa ni mastaa wa bongo fleva tuambie ni nani nani ?

Oya ni wakina nani!!

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *