TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira.

Comment

Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo.

Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na hatimaye kumtoza faini ya Tsh. Milioni 9 pamoja na kutokumruhusu kujihusisha kwa shughuli za mpira wa miguu.

Manara amehukumiwa kutojihusisha na Soka kwa miezi 12 na ametakiwa kulipa faini jumla ya Shilingi milioni 9.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post