Teknolojia Mpya ya Google, Madaktari Kugundua Kansa Kwa Urahisi


Watafiti wa Google wametengeneza hadubini (microscope) ambayo inaweza kusaidia madaktari kugundua kansa.

Mfano wa darubini ya vidudu ya Google ni kama hadubini ya kawaida inayotumia “neural networks” kuchunguza seli za saratani kwenye picha za tishu za binadamu.

Picha hizi zinachukuliwa kutoka kwenye kamera hadi kwenye microscope kisha kwenye kompyuta ambayo inaonyesha picha ya tishu kwa wakati halisi wakati wa kuchunguza seli za saratani.

Google

Vifaa hivi pia vinaweza kuwekwa kwenye microscopes zinazotumika kwa sasa mahospiitalini, kuwezesha madaktari kupata teknolojia hii kwa gharama nafuu.

Video hapa chini inatoa maelezo mafupi ya teknolojia hiyo.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA