Sambaza:


January 18, 2018 Mkurugenzi wa J.P.M hospitali Dr. Ameir Binzoo ameongelea ujio wa Madaktari bingwa kutoka India ambao watakuja Tanzania tarehe 20 na 21 ya mwezi January 2018 kushirikiana na Madaktari wa Hospitali ya J.P.M iliyopo DSM ambao watahudumia wagonjwa mbalimbali bure.

Akizungumza na waandishi wa habari Dr Binzoo amesema ni muhimu kwa watu kujitokeza siku hiyo ya jumamosi kwani Madaktari hao amekuja kwa ajili ya kutibu watu magonjwa mbalimbali na ni bure kama mifupa, moyo, mifereji ya mikojo, na uzazi kwa kina mama.

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako