Sambaza:

tecno

Brands hizi mbili zinazidi kutawala soko la simu nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla kwa sababu ya kuendelea kutoa simu nzuri zinazouzwa bei nafuu.

Mwaka 2017, Tecno imetawala soko kwa kutoa simu za Android zenye ubora kama vile TECNO L9/ L9 Plus, Tecno Camon CX, Tecno W6 na toleo la hivi karibuni la Phantom 8, Infinix nayo haijaachwa nyuma, imetoa simu kama Infinix Smart (X5010), Infinix S2, Infinix S2 Pro pamoja na simu zingine nyingi.

Kampuni hizi zitazidi kutawala soko kwa sababu ndani ya mwaka wa 2017 hazijalala kwenye mbio za Baiskeli, na zimeahidi kuendelea Kutoa simu zenye ubora ndani ya mwaka 2018 kwa bei nafuu zaidi.

Kutokana na Uzoefu wako, Simu ipi ni nzuri na unaipenda zaidi, Tecno au Infinix?

:: Toa maoni yako, Sababu za Kwanini umechagua simu hiyo ::


Sambaza:
SOMA NA HII:  Simu za Bei Nafuu - Bei za Simu za Mkononi Tanzania - 2017

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako