Fikiria TECNO Camon C7 kama toleo la kawaida la Camon C9. Haina 4G, kioo kina ukubwa wa inchi 5, processor ina kasi ya 1.3 GHz, na uwezo wa betri wa 2,500 mAh.

Camon C7 pia inakuja na utangamano wa TECNO T-Band. Umbo lake ni plastiki pia ina bei nzuri kwa kila Mtanzania.

Hakika kuna mashabiki wengi wa mfululizo wa Camon kwa sababu ya bei zake. Angalia maelezo kamili ya TECNO Camon C7 hapa chini:

Tecno Camon C7

Sifa na Uwezo wa TECNO Camon C7

Wireless Network And Software

 • GSM: GSM 900 / 1800
 • 3G: HSDPA 900 / 2100
 • 4G: No
 • SIM Type: Dual SIM (Regular + Micro)
 • OS: Android 6 Marshmallow + HiOS v1.0
SOMA NA HII:  Njia 5 zitakazokuwezesha kutumia simu wakati unaendesha gari

Design

 • Dimensions: 142.1 x 71.5 x 5.4 (visual breath) mm
 • Weight:
 • Display: 5.0 inches, 720 x 1280 pixels, 294 PPI, IPS display
 • Sensors: Iris Scanner, Accelerometer, Proximity
 • Build: Plastic
 • Colours: Elegant Blue, Sandstone Black, Champagne Gold, Rose Gold

Hardware

 • Processor Type: Quad-Core 1.3 GHz
 • Processor Name: Mediatek MT6753
 • Graphics Processor: Mali-T720
 • RAM: 2 GB
 • Internal Storage: 16 GB
 • External Storage: MicroSD card up to 128 GB (dedicated slot)

Camera

 • Rear: 13 megapixel autofocus camera with dual LED flash
 • Video recording: Yes
 • Front-facing: 13 megapixel camera with flash

Multimedia

 • Music Support: mp3, aac, aac+, eaac+, amr
 • Loudspeaker*: Mono
 • Video Support: mpeg4, h.263, h.264
 • FM Radio: Yes
SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Tecno Phantom 6 bei na Sifa zake

Connectivity

 • Bluetooth: v4.0
 • WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
 • GPS: Yes
 • USB: microUSB v2.0

Miscellaneous

 • TECNO T-Band compatibility
 • Battery: 2500 mAh
 • Announcement: July 2016
 • Availability: August 2016

Sambaza:

Written by Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako