Nyingine

Tazama picha ya cocaine iliyokamatwa na Polisi yenye thamani ya £ 73m ikiwa kwenye package ya ‘Lionel Messi’

Wiki iliyopita, Polisi wa Peru walikamata kilo 1.4 ya cocaine ikisafirishaji huku ikiwa  kwenye package yenye picha ya Lionel Messi kwa juu.

Picha inaonyesha sura ya Messi akiwa amevaa jezi ya Barcelona pamoja na nembo ya brand yake, cocaine inakadiriwa kuwa na thamani ya £ 73million.

Kwa mujibu wa AFP, mzigo huu ulikuwa unasafirishwa kwenda Ulaya kabla haujakamatwa na maafisa.

SOMA NA HII:  Idara ya Habari (MAELEZO) Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako