Sambaza:

Kwa mara ya kwanza Candy and candy group of companies wanakuletea Tuzo ya heshima Tanzania “BIG ISHU AWARDS”

Tuzo hiyo itatolewa kwenye taasisi mbalimbali,kutokana na ubunifu na namna walivyofanikiwa kubadilisha maisha ya wengi nchini Tanzania.

Tuzo hizo zitalenga makampuni na mashirika mbalimbali kutokana na namna ambavyo zinatoa fursa za kimaendeleo kwa watanzania.

Tuzo hizi pia zinatoa fursa ya kukutanisha wamiliki wa makampuni na mashirika mbalimbali kuweza kusheherekea na kubadilishana mawazo siku hiyo.

Orodha na vipengele vitakavyoshindaniwa katika tuzo hizo ni:-

-CORPORATE COMPANIES

-AGENCIES

-NGO’S

-SOCIAL NETWORKS

-GOVERNMENT MINISTRIES

-MEDIA

SOMA NA HII:  Hali ni mbaya sana kwa tovuti za Pirates na wazee wa Torrent

-EDUCATION INSTITUTION

-SPORTS

TOURISM AND HOSPITALITY

-ENTERTAINMENT

Big ishu watazindua kampeni ya media kutangaza washiriki wote na miradi yao waliyoanzisha ya kuwasaidia wananchi kubadilisha maisha yao.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:-
Simu namba:- +255652052263

Barua Pepe:- joe@afwab.com

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako