Home Tech Gist Tango TV yazindua application ya kutazama filamu za Kiswahili

Tango TV yazindua application ya kutazama filamu za Kiswahili

0
0

Kampuni mpya ya kitanzania iliyounda kifaa cha kutazama filamu kwenye TV kwa kutumia mtandao. Wiki hii wamezindua application ya simu za android ambayo ina mamia ya filamu za kibongo.

“Natoa wito kwa watanzania waijaribu application hii ya Tango Movies, inapatikana kwenye playstore bure kabisa, install sasa upata offer ya kutazama filamu hizo bure,” amesema Victor Joseph ambaye ni Mkurugenzi wa Tango TV.

Itafute ufurahie filamu kibao za kibongo kupitia simu yako.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *