Habari za TeknolojiaNyingine

TANGA: Coaster lagonga Lori kwa nyuma watu kadhaa wapoteza Maisha

Huku bado tukiwa bado tunauguza vidonda vya maumivu ya ajali iliyochukua roho za watoto wetu huko tanga napo ajali mbaya imetokea eneo la Lusanga Muheza. Basi aina ya Coaster ikitokea Tanga kuelekea Korogwe, imegonga lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu. Ni usiku huu.

 

 

 

 

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *