Tags na Categories

tags

Je! Kuna tofauti gani kati ya tags (vitambulisho) na categories (makundi) kama unavyotumia katika interface yako ya WordPress? Lorelle ametoa hatua ya kwanza kukusaidia kujua jinsi ya kuzitumia.

Angalia katika kila makala kwenye tovuti hii, mediahuru, tunazitumia sana katika tovuti yetu kama mfano wa matumizi. Angalia categories zetu na kisha chini ya ukurasa,kuna tag kwa jina la ‘Mada zinazohusiana’

Mahali sahihi kuanza kupata wazo la jinsi ya kufanya kazi na zana hizi mbili.

SOMA NA HII:  Faili iliyopakiwa inazidi maelekezo ya "upload_max_filesize" katika php.ini
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako