Swali!!! Young D, Young Killer & Dogo Janja, Mmoja Kati ya Mastaa hawa inatakiwa aache Muziki, Je ni Nani?

Comment

Hii ni kwajili ya Kujifurahisha!

Ni muda mrefu tumekuwa tukiweka mada kama hizi.

Tumekuwa tukiuliza maswali kuhusu wasanii wadogo mpaka wakubwa.

Ukiangalia chat ya muziki wa Tanzania ,Young D,Young killer & Dogo janja ni wasanii wenye umri mdogo wanaovuma kwa sasa.

Ni ngumu kuchagua mmoja kati yao, na kama ni lazima kuchagua inatakiwa uwe makini na uchaguzi wako.

Sasa swali ni-kati ya Young D,Young Killer na Dogo Janja ,mmoja wapo anatakiwa kuacha muziki, Je ni nani?

Toa maoni Yako?

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!