Swali la Siku: Wapenzi wakutane kimwili kwa wiki mara ngapi?

Comment

Hakuna mtu ambaye ana sababu maalumu ya mara ngapi  kwa wiki wapenzi wanapaswa kushiriki tendo la ndoa.

Unafikiri ni mara ngapi wapenzi wanapaswa kukutana kimwili katika wiki? Mara mbili? Mara 3? Kila usiku? Wataalam wanasema swala la kufanya mapenzi halipaswi kuwa na muda maalumu… na tunapaswa siku zote kuruhusu mambo yaje naturally , kuweka muda ama siku ya kufanya hivyo kunapunguza hamu/hamasa na nguvu ya kutumika wakati wa tendo lenyewe. Nini maoni yako?

Wakati huo huo ni kweli kwamba baadhi ya wanaume wanaweza kwenda raundi 4 usiku mmoja … au ni hadithi tu? # Usidanganye

Tuambie mawazo yako?

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!