Swali La Siku: Unaweza Kununua Nini Kwa Shilingi 50 Katika eneo lako ?

Sote tunajua kasi ya mambo yanavyobadilika katika nchi hii. Ukiwa na Shilingi 50 unaweza kununua vitu kwenye baadhi ya maeneo lakini zamani sio sasa.

Najiuliza kama bado kuna kitu chochote ambacho unaweza kununua kwa shilingi  50. Hapa Dar es salaam, sidhani kama kuna kitu chochote chenye thamani ya shilingi 50.

Labda maji ya kufunga napo inahitaji uwe na uwezo wa kushawishi upunguziwe bei.

Sasa hili ni Swali letu kwenu.

Kuwa mkweli :-Shilingi 50 inaweza kununua nini katika eneo lako ? + Tuambie eneo ulilopo.

Weka maoni yako.

SOMA NA HII:  Nahitaji Antivirus, Je Wewe Unatumia Antivirus Gani Kwenye Kompyuta Yako?

COMMENTS

WORDPRESS: 0