Home Nyingine Swali La Siku:- Taja Kitu Kimoja Ambacho Mwanamke Anatakiwa Kuwa Nacho Kabla Hujafikiria Kuwa Nae?

Swali La Siku:- Taja Kitu Kimoja Ambacho Mwanamke Anatakiwa Kuwa Nacho Kabla Hujafikiria Kuwa Nae?

0
0

Kila mwanaume kuna kitu kimoja hukiangalia kabla hajaamua kudate na mwanamke ama laah.

Ni kama msemo huu maarufu masokoni “Bidhaa tofauti tofauti kwa watu tofauti”, kila mtu anakitu tofauti kinachomfanya awe kichaa wa mapenzi kwa wanawake. Unachokipenda zaidi kinaweza kuwa hakina maana kwa mwanaume mwingine.

Leo, Tumeleta swali hili kwa wadau na tunahitaji uandike kitu kimoja tu ambacho wewe hukiangalia kwa mwanamke kabla ya kusema huyu ananifaa. Tufungue maada yetu…..

Ni Kitu Gani Ambacho Mwanamke Anatakiwa Kuwa Nacho Kabla Hujafikiria Kuwa Nae?

Toa Maoni Yako.

Kwa upande wangu (Benix Matrix) – Mwanamke anatakiwa kuwa Mweusi

Haaaaa Haaaaa. Natania tu ! Anatakiwa kuwa na Zigo…….

Vipi kuhusu wewe?

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *