Sambaza:

Kihalisia Wanafunzi wengi wanaosoma masomo ya sanaa  hawako vizuri kwenye somo la hesabu/maths ila wanalazimishwa kusoma.

Ukingia mashule kuna baadhi ya wanafunzi wanaosoma sanaa wapo vizuri sana kwenye masomo ya hayo ila ukiangalia matokeo yao kwenye somo la hesabu utawaonea huruma.

Hapa nakuwa na swali ambalo bado nakosa jibu, hivi hesabu/mathematics ni muhimu kwa wanafunzi wa masomo ya sanaa kama ilivyo kwa wanafunzi wa masomo mengine ama inatakiwa litolewe kwenye masomo ya lazima kwa sababu Arts inajihusisha zaidi na kuongea, kuandika na kusoma kuliko vitu kama algorithm, phytagoras, bodmas vinavyopatikana kwenye Hesabu/Mathematics..

SOMA NA HII:  Kenya yatengeneza satelaiti yake kurushwa anga za juu Machi mwaka huu

Una mtazamo gani kwenye hili ? Toa maoni yako.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako