Nyingine

Swali la siku: Kwa nini watu wengi hawatumii slice ya kwanza ya mkate?

Nimegundua kuwa watu wengi mala nyingi hawapendi kula slice ya kwanza ya  mkate. Nilipo uliza baadhi ya watu wanasema ni kwa sababu ni mbaya.

Nilikubaliana nao kwa kiwango flani ila sikulizika.

Kwa pamoja tushare maoni katika hili…..Kwa nini watu wengi hawatumii slice ya kwanza na ya mwisho ya mkate?

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close