Swali la Siku:- ‘Kuwa Mkweli’ Utafanya nini kama mtoto wako atakufanyia hivi ? (Angalia Picha)

Kuna mtu ameniuliza swali hili  na nimeamua kushare na wanamediahuru kwa sababu inafurahisha sana, nataka kuona majibu yenu yatakuwa vipi.

Swali:- Umepata Visa ya Marekani baada ya kushindwa/kukataliwa kama mala 6 hivi , Sasa siku unataka kusafiri , mwanao anafanya hivi kwenye Passport yako…..

Kuwa mkweli,Utafanya kitu gani kwa mwanao baada ya tukio hili?

Toa maoni yako.

Leave a Reply