Swali la Siku kutoka kwa Denzel Washington: Una Tumia Simu Yako au Simu Yako Inakutumia ?

Katika mahojiano yake na BBC akiitangaza movie yake mpya, Fences, Denzel Washington alijaribu kuelezea athari za “habari za uongo.” Washington aligoma kukubaliana na madai ya kwamba “habari za uongo” ndio tatizo kubwa, na kusema kuwa tatizo ni “Information overload.” unaweza kuangalia mahojiano hapa chini:

Kitu kilichonivutia zaidi kwenye mahojiano haya ni kauli hii:

“Watu wanatakiwa kuelewa: Je, unatumia kifaa chako au kifaa chako kina kutumia wewe, unaweza kuiweka chini, unaweza kuizima?

Toa Jibu lako?

Tags:,

One Response

  1. salim May 28, 2017

Leave a Reply