Swali la kwanza alilouliza Mama Salma Kikwete bungeni (Video)

Comment

Leo asubuhi mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa na kwenye kipindi cha maswali na majibu alipata nafasi ya kuuliza swali lake la kwanza muda mchache baada ya kula kiapo.

Mama Salma aliuliza,

“Je, serikali ina mpango gani wa kuongeza huduma ya TASAF kwa wakazi wa mkoa wa Lindi?

Swali hilo lilielekezwa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki ambapo aliweza kujibu:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!