Stan Bakora: Hii ni list ya wasanii 10 wanaoishi na wanawake bila kuoa [+Video]

Comment

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa ambao yeye amewaita wahalifu na amewataka wasanii hao akutane nao sentro kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!