Nyingine

Stamina apata shavu sasa kusimamia na label kubwa ya muziki

Msanii wa muziki nchini ” Stamina”  amesema amesaini mkataba na label kubwa ya muziki nchini.

Rapa huyo amesema kwa sasa siwezi kuitaja ni label gani wao ndio wanatakiwa kufanya hivyo.

“Nashukuru Mungu nimesaini na label kubwa sana hapa nchini na tayari hapa ninapozungumza tumeanza kufanya kazi pamoja, hata project ambazo nazifanya kwa sasa zipo chini yao. Lakini kwa sasa siwezi kuitaja ni label gani wao ndio wanatakiwa kufanya hivyo,” alisema Stamina.

“Muziki umebadilika sana sasa hivi, siwezi kufanya kila kitu, lazima uwe na team ambayo itakuwa inafanya kazi zako nyingine, kwahiyo kwangu mimi naweza kusema hii ni safari mpya na Stamina ambayo itakuwa na mambo mengi mazuri,”

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.