Habari za TeknolojiaUsalama

SNORT mfumo wa bure wa Kugundua Kuvamiwa na Kuzuia

SNORT ni mfumo wa bure na  ulio wazi wa Kugundua Kuvamiwa na Kuzuia  uliobuniwa na Sourcefire. SNORT inatumia mchanganyiko wa saini, itifaki na ukaguzi wa kasoro kugundua upitaji wa vitu viharibifu.

SNORT-mfumo

SNORT inatekeleza uwekaji kumbukumbu wa paketi za data, kuchambua kumbukumbu, kutafuta maudhui, na kulinganisha kwa wakati kuweza kugundua mashambulizi  kama vile kuvuka bafa, uchunguzi wa siri wa ports (stealth port scans),  mashambulizi ya mipaka kuingiliana ,  uchunguzi kuzuia ujumbe wa seva , unyimaji huduma, alama ya vidole ya mfumo wa uendeshaji unaotumika  n.k.).

Kutokana na mchango mkubwa wa jamii, Snort inatumia sheria zinazobainisha trafiki ya data inayochukuliwa. Ili Snort iweze kuchambua sawasawa trafiki ya data, inashauriwa Snort ikusanye kutoka swichi yenye  diko iliyo na kioo.

Matumizi ya Snort yaweza kusaidiwa na zana nyingine  kama snorby  inayotoa program tumizi  iliyo rahisi kutumia inayotembea juu ya snort   na sguil inayotumia snort kufanya ufuatiliaji wa  usalama wa mtandao.

TZ-CERT inashauri yeyote anayeendesha mtandao na muundombinu wa mfumo ajaribu Snort kama hanawa  Mfumo wa Kubaini Uvamizi.

Unaweza kujifunza zaidi kuhusu snort  kwenye tovuti yao www.snort.com

Taarifa na TZ-CERT

SOMA NA HII:  Ifahamu treni yenye spidi kali zaidi duniani
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako