Singida United imesajili mastaa wengine wa kimataifa

Comment


Club ya Singida United ya Singida ambayo imepanda kucheza Ligi Kuu Tanzania bara katika msimu wa 2017/2018, leo March 26 2017imetangaza kufanya usajili wa wachezaji wawili wapya wa kimataifa kutokea Zimbabwe ambao ni Elisha Muroiwa mwenye umri wa miaka 27 na Wisdom Mtasa mwenye umri wa miaka 22, wachezaji hao wote wamesaini mkataba wa miaka miwili wakitokea Dynamos FC ya Zimbabwe.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!