Sambaza:

Unataka kununua simu janja za Lenovo ? Unatafuta simu mpya za Lenovo kwenye soko ? Angalia listi yetu ya Bei ya simu za Lenovo 2016/2017.

lenovo

Lenovo ni kampuni ya teknolojia ya Asia inayojulikana kwa kutengeneza simu janja za bei nafuu na laptops. Mnamo Februari 2014, Lenovo ilizinduliwa rasmi nchini Nigeria; na kufanya iwe rahisi kwa nchi nyingine za Afrika kupata bidhaa za Lenovo kwenye maduka ya mtandaoni tunayoyapenda.

Lenovo A1000 :

Sifa Muhimu :

 • Aina ya SIM : Inatumia laini mbili
 • Mfumo wa Uendeshaji (OS): Android 5.0 Lollipop
 • Kioo: 4″ 480×800 TFT Capacitive
 • Imetengenezwa kwa: Plastiki
 • Rangi: Nyeusi
 • Processor : 1.3GHz Quad-Core Processor – Spreadtrum SC7731
 • RAM: 1GB
 • Hifadhi ya ndani: 8GB
 • Hifadhi ya nje: Ndio , hadi 32B
 • Kamera ya Nyuma : 5MP with flash
 • Kamera ya mbele : VGA
 • Betri: 2000mAh
SOMA NA HII:  Tecno R7 Simu Nyingine ya Bei Nafuu Kutoka Tecno

Faida :

 • Inauzwa bei nafuu

Hasara :

 • Ubora duni wa kuonyeshali>
 • Betri ya kawaida
 • Utendaji wa kawaidaa

Bei ya kuanzia – Tsh 140,000

Lenovo PHAB Plus 4G LTE Tablet :

Sifa Muhimu :

 • Aina ya SIM : Inatumia laini mbili
 • 4G LTE : Ndio
 • Mfumo wa Uendeshaji (OS): Android 5.0 Lollipop
 • Kioo: 6.8′ inch screen
 • Rangi: Nyeupe
 • Processor: Octa-core Qualcomm MSM8939 Snapdragon 615
 • RAM: 2GB
 • Hifadhi ya ndani: 32 GB
 • Hifadhi ya nje: Ndio
 • Kamera ya Nyuma : 13MP with flash
 • Kamera ya Mbele : 5MP
 • Betri: 3500mAh

Faids :

 • Ina betri inayokaa muda mrefu
 • Skrini yake ni kubwa, inafaa kwajili ya kuchezea gemu
 • Mwonekano wake kwa ujumla unavutia

Hasara :

 • Ni gharama sana

Bei inaanzia –  Tsh 600,000.

SOMA NA HII:  Simu ya Infinix Smart X5010 – “Be Smart , Be You”

Lenovo 3 Tab 710 :

Sifa Muhimu :

 • Aina ya SIM : Inatumia laini mbili
 • 4G LTE : Ndio
 • Mfumo wa Uendeshaji (OS): Android 5.0 Lollipop
 • Kioo: 7′ inch screen
 • Rangi: Nyeupe
 • Processor: Quad Core 1.3 GHz MediaTek Processor
 • RAM: 1GB
 • Hifadhi ya ndani: 16 GB
 • Hifadhi ya nje: Ndio
 • Kamera ya Nyuma : 2MP with flash
 • Kamera ya Mbele : 0.3MP
 • Betri: 3450mAh

Faida :

 • Ina betri inayokaa muda mrefu
 • Skrini yake ni kubwa, inafaa kwajili ya kuchezea gemu
 • Mwonekano wake kwa ujumla unavutia

Hasara :

 • Resolution ya kamera ni ndogo

Bei inaanzia – Tsh 230,000

Lenovo Vibe C A2020:

Sifa Muhimu :

 • Aina ya SIM : Inatumia laini mbili
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Kioo: 5′ inch screen
 • Rangi: Nyeusi
 • Processor: 32-bit Qualcomm Snapdragon 210 quardcore processor
 • RAM: 1GB
 • Hifadhi ya Ndani: 16GB
 • Hifadhi ya Nje: Ndio
 • Kamera ya Mbele : 5MP with flash
 • Kamera ya Nyuma : 2MP
 • Betri: 2300mAh
SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Tecno W3 bei na Sifa zake

Faida :

 • Inauzwa bei nafuu
 • Kamera yake ni nzuri

Hasars :

 • Uwezo wa betri ni wa kawaida

Bei inaanzia – Tsh 200,000

Lenovo Vibe P1M :

Sifa Muhimu :

 • SIM Type: Dual SIM
 • OS: Android 5.0 Lollipop
 • Kioo: 5′ inch screen with 720×1280 pixels resolution
 • Rangi: Nyeusi
 • Processor: MediaTek MT6735 Quad-Core Processor
 • RAM: 2GB
 • Hifadhi ya Ndani: 16GB
 • Hifadhi ya Nje: Ndio
 • Kamera ya Nyuma : 8MP with flash
 • Kamera ya Mbele : 5MP
 • Betri: 3900mAh

Faida :

 • Ina betri nzuri
 • Ina kamera nzuri
 • Ina uwezo mzuri wa kufanya kazi

Hasara :

 • Ni nzito kidogo (148grams)

Bei ya kuanzia– Tsh 240,000

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako