Sambaza:

Infinix Mobility ni brand ya simu janja ambayo imeingia kwenye soko la Afrika kwa nguvu kubwa. Wanapatikana katika soko la Tanzania na simu zao zina bei nafuu. Hapa kuna orodha ya Simu za hivi karibuni na bora zaidi za Infinix kwenye soko la nchini Tanzania ?

infinix

Haishangazi kwamba simu za Infinix ni moja ya simu zinazonunuliwa zaidi nchini Tanzania. Kwa sababu ya kuwa na bei nafuu, bei ambayo watu wengi wanaweza kuimudu, Watanzania wamekua wakipenda bidhaa zao.

sinu YA Infinix
BEI
Infinix Zero 5 Tsh700,000 – Tsh760,000
Infinix Hot 5 / Hot 5 Lite Tsh250,000 – Tsh267,000
Infinix Smart X5010
Infinix Note 4 / Pro Tsh350,000 – Tsh500,000
Infinix S2 / Pro Tsh450,000 – Tsh560,000
Infinix Zero 4 / Plus Tsh550,000 – Tsh750,000
Infinix Note 3 / Pro Tsh450,000 – Tsh550,000
Infinix Hot 4 / Lite / Pro
Infinix Hot S
Infinix Hot 3
Infinix Zero 3

1) Infinix Zero 5 / PRO (Ilizinduliwa Novemba 2017)

Sifa Muhimu :

 • Kioo: 5.98 inches  (1920 x 1080 pixels resolution)
 • Mfumo wa Uendeshaji: Android 7.0 Nougat
 • Processor: Octa-Core MediaTek Helio P25 chipset @ 2.4Ghz
 • Memory:  6GB RAM , 64GB/128GB ROM (Zero 5 Pro)
 • Kamera: Mbele— 16MP  | Nyuma — 12MP + 13MP
 • Betri: 4350mAh

Simu ya Infinix Zero 5 ndio simu mpya na ya mwisho kutolewa na Infinix baada ya Infinix Note 4 iliyozinduliwa mwezi Agosti mwaka 2017. Infinix Zero 5 ni simu janja mpya iliyozinduliwa mwezi Novemba mwaka 2017. Simu hii inakuja na ukubwa wa kioo cha inchi 5.98 chenye teknolojia ya IPS LCD (1920 x 1080 pixels).

Soma zaidi kuhusu Infinix Zero 5

2. Hot 5 / Hot 5 Lite (Ilizinduliwa Agosti 2017) :

Sifa Muhimu :

 • 5.5 inches, IPS LCD Touchscreen display — (720 x 1280 px)
 • 1.3 GHz Quad-core CPU
 • 2GB RAM , 16GB ROM
 • 8.0MP rear camera , 5MP front camera
 • Android 7.0 Nougat with XOS 2.2
 • 4000mAh battery
 • Fingerprint Scanner
 • Dirac 3D stereo surrounding
 • Front dual camera

Sifa Muhimu za Hot 5 Lite:

 • 5.5-inch Touch Display, 720 x 1280 pixels (267ppi)
 • 1.3GHz quad-core MediaTek MT6580 CPU with 1GB RAM
 • Android 7.0 (Nougat) with XOS 2.2
 • 16GB Storage with support for memory card up to 32GB
 • 8MP Rear Camera and 5MP Front Camera
 • 3G and Wi-Fi
 • 4000 mAh Battery with Fast Charging

Ni rahisi kusema kwamba Infinix Hot 5 Lite ni toleo la chini la simu ya gharama nafuu ya Hot 5, kama ilivyoonyeshwa na ‘Lite’ moniker. Infinix Hot 5 Lite ina sifa nyingi zinazofanana na ndugu yake, lakini haina fingerprint scanner na inakuja na RAM ndogo.

Soma zaidi kuhusu Infinix Hot 5 / Hot 5 Lite

3. Smart X5010 (Ilizinduliwa Julai 2017) :

Sifa Muhimu :

 • Kuzinduliwa : Julai 2017
 • Idadi ya Laini: Laini Mbili
 • 3G Network : HSDPA 850 / 900 / 2100 / 1800 / 1900
 • 4G Network : Hapana
 • OS: Android 7.0 Nougat + XOS 2.2
 • Kioo: 5.0″ HD , 720 x 1280 Pixels
 • Uzito : 145g
 • Graphics Processor : Mali-T720 MP3 450 MHz
 • RAM: 1GB
 • Hifadhi ya Ndani: 16GB
 • Hifadhi ya Nje: Unaweza kuweka memori kadi hadi ya 32GB
 • Kamera ya Nyuma :  8 megapixels, auto focus , dual LED flash
 • Kamera ya Mbele : 2 megapixels na LED flash
 • Bluetooth: v4.0
 • WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
 • Sensors: G-sensor , Light Sensor , Proximity Sensor.
 • Betri: 3060mAh na 250H standby time
SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Infinix S2 Pro X522 bei na Sifa zake

Infinix Smart X5010 ni ongezeko la kwanza kwenye mfululizo wa “Smart”; aina mpya ya simu janja zenye bei nafuu kutoka Infinix Mobility. Smart X510 ni ni simu janja ya bei nafuu ambayo sifa zake imelenga soko la watu wa chini kabisa. Inakuja na kioo cha HD chenye inchi 5.0, RAM 1GB, hifadhi ya ndani ya 16GB, mfumo wa uendeshaji wa Android 7.0 Nougat na betri ya 3060mAh.

Soma zaidi kuhusu Smart X5010

4. The Note 4 & Note 4 Pro (Ilizinduliwa Julai 2017) :

Sifa Muhimu :

 • Aina ya kioo: IPS LCD
 • Kamera: Kamera ina MP 13 pamoja na flash 2, kamera ya nyuma ina MP 8
 • Laini za simu: Inakubali laini 2
 • Wembamba: 159.6 x 78.8 x 8.3mm (uzito ni gramu 200)
 • Mfumo wa uendeshaji: Android 7.0 (Nougat)
 • Mnara/Teknolojia nyinginezo: GPRS, Edge, 3G HSPA, 4G LTE, Bluetooth v4.0, Wi-Fi 802.11 b/g/n, hotspot, Micro USB na ina redio
 • Usalama: Ina teknolojia ya fingerprint iliyowekwa eneo la mbele.

Maelezo ya Haraka : Sifa zake ni kana kioo cha inchi  5.7 , 2GB / 3GB RAM , hifadhi ya ndani 16GB / 32GB, Android 7.0 Nougat + XOS 2.2 , 4300mAh battery. Soma Zaidi Kuhusu Note 4 & Note 4 Pro

5. Infinix S2 Pro (Ilizinduliwa Aprili 2017)  :

Sifa Muhimu :

 • 5.2-inch IPS Display, 720 x 1280 pixels (282 ppi)
 • 1.3GHz octa-core MediaTek MT6753 CPU with 2GB / 3GB RAM
 • Android 6.0 (Marshmallow)
 • 16GB or 32GB Storage with support for memory card up to 128GB
 • 13MP Rear Camera and 13MP + 8MP Front Camera
 • 4G LTE (up to 150 Mbps download)
 • Fingerprint Sensor
 • 3000 mAh Li-ion Battery with Fast Charging

Infinix S2 Pro (a.k.a Infinix X522) na simu ya Infinix S2 ni wafuasi wa Infinix Hot S. Infinix inaonekana kuachana na branding ya Hot kwenye simu za Infinix S kama walivyofanya kwenye aina ya simu za NOTE miaka michache iliyopita. Kipengele bora zaid kwenye Infinix S2 Pro ni kamera mbili za mbele, ambazo zinawavutia zaidi wapenzi wa selfie na wefie.

Sima zaidi Kuhusu infinix s2 pro

6. Infinix Zero 4 (Ilizinduliwa Novemba 2016)

Sifa Muhimu

 • 5.5-inch IPS Display, 1080 x 1920 pixels (400ppi)
 • 1.3GHz Octa-core MediaTek MT6753 CPU with 3GB RAM
 • Android 6.0.1 (Marshmallow), Android 7.0 upgrade
 • 32GB Storage with support for memory card up to 128GB
 • 16MP Rear Camera and 8MP Front Camera
 • Optical Image Stabilisation
 • 4G LTE (up to 150 Mbps download)
 • Fingerprint Sensor (Rear)
 • 3200 mAh Battery with Fast Charging

Infinix Zero 4 (a.k.a Infinix X555) ni mwanachama wa kizazi cha nne cha mfululizo wa Simu za Infinix Zero. Ni maboresho makubwa kwa kulinganishwa na mtangulizi wake, Infinix Zero 3, ikiwa na maboresho kwenye programu na kamera. Ingawa, kamera ya nyuma ya Infinix Zero 4 imeshuka kutoka megapixels 20.7 hadi megapixel 16 inaweza kuonekana kama ubora umepungua,lakini kuanzishwa kwa Optical Image Stabilisation na Laser autofocus kumeleta ubora mpya. Maboresha ya kweli ya Zero3 ni Infinix Zero 4 Plus.

Soma zaidi kuhusu Infinix Zero 4

7. Infinix Note 3 (Ilizinduliwa Agosti 2016)

Sifa Muhimu

 • 6.0-inch Touch Display, 1080 x 1920 pixels (367ppi)
 • 1.3GHz octa-core MediaTek Helio X10 MT6753 CPU with 2GB RAM
 • Android 6.0 (Marshmallow)
 • 16GB Storage with support for memory card up to 128GB
 • 13MP Rear Camera and 5MP Front Camera
 • 3G and Wi-Fi, Optional 4G LTE
 • Fingerprint Sensor (Rear)
 • 4500 mAh Battery with Fast Charging
SOMA NA HII:  Unaweza kukaa muda gani bila kuishika simu yako?

Simu ya Infinix Note 3 X601 ni mrithi wa “entry level phablet” ya mwaka jana, Infinix Note 2, ingawa inaonekana kama simu ya “mid-range”. Bei ya Infinix Note 3 kwa Tanzania inaanzia Tsh400,000 hadi Tsh450,000. Simu hii ya Infinix ina kioo kikubwa cha inchi 6, lakini saizi ya pixels imeongezwa zaidi ili kuboresha muonekano. Infinix Note 3 inatumia mfumo wa Android 6.0 (Marshmallow, pia ina fingerprint sensor na betri yenye ujazo wa 4500 mAh. Angalia uchambuzi wa simu ya Infinix Note 4. Fahamu zaidi kuhusu Infinix Note 3.

8. Infinix Hot 4 (Ilizinduliwa Agosti 2016)

Sifa Muhimu

 • OS: XOS Based on Android 7.0 (Nougat)
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 4G LTE: YES
 • Screen Size : 5.7 Inches FHD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1080 x 1920 pixels
 • Processor Type: Octa-core CPU, MediaTek MT6753 Chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • External Storage: microSD, up to 128 GB
 • Back / Rear Camera: 13MP camera & Dual LED Flash
 • Front Camera: 8MP
 • Front-placed Fingerprint scanner
 • Battery: 4300 mAh Non-Removable

Infinix Note 4 ilizinduliwa ikiwa na kalamu ya stylus (X-pen) kwa toleo kubwa tu la kifaa hiki; Infinix Note 4 Pro, simu hii ni ya kushangaza kabisa kwa muundo wake na pia ni nafuu. Pia ina fingerprint sensor kwa mbele.

9. Infinix Hot S (Ilizinduliwa Julai 2016)

Sifa Muhimu

 • 5.2-inch IPS Display, 1080 x 1920 pixels (423ppi)
 • 1.5GHz octa-core MediaTek MT6753 CPU with 2GB/3GB RAM
 • Android 6.0 (Marshmallow)
 • 16GB Storage with support for memory card up to 128GB
 • 13MP Rear Camera and 8MP Front Camera
 • 4G LTE (up to 150Mbps download)
 • Fingerprint Sensor (Rear)
 • 3000 mAh Battery

Infinix Hot S ni simu janja ya kisasa zaidi kutoka Infinix. Ilikuwa simu ya kwanza kutoka kwenye kampuni hiyo kuwa na fingerprint sensor na mfumo endeshi wa Android 6.0. Infinix Hot S inaonekana kama mabadiliko ya falsafa ya Infinix ya ‘bigger is better’ kwani simu hii ina kioo cha inchi 5.2. Infinix S2 na Infinix S2 Pro ni muendelezo wa simu ya Hot S.

10. Infinix Hot 3 (Ilizinduliwa Machi 2016)

Sifa Muhimu

 • SIM Type: Dual Micro SIM
 • 3G Network: Yes
 • 4G Network: Yes
 • Display: 5.5-inch
 • Back Camera: 8 megapixels
 • Front Camera: 2 megapixels
 • OS: Android 6 marshmallow
 • Processor Type: 1.3GHz
 • Storage: 16 GB
 • RAM: 1 GB
 • External Storage: Yes, up to 128 GB
 • Fingerprint scanner: No
 • Battery: 3000mAh

Sio vigumu kurekebisha makosa. Hot 3 ni mtangulizi wa Infinix Hot 4 . Unaweza kupata simu hii kwa bei ya chini ya Tsh 250000 mtandaoni. Angalia baadhi ya vipengele vya simu hii:

11. Infinix Zero 3 (Ilizinduliwa Desemba 2015)

Sifa Muhimu

 • Screen Size: 5.5 Inches 1080 x 1920 pixels, 401 pixels per inch (PPI)
 • Screen Type : Super AMOLED, Corning Gorilla Glass 3, capacitive touchscreen with 16,000,000 colors
 • Body & Design : Aluminum, Glass
 • Processor : 2.2GHz octa-core CPU, MediaTek Helio X10 MT6795 chipset, PowerVR G6200
 • RAM : 3GB
 • Operating System : Android 5.1 Lollipop
 • Internal Storage : 16GB / 32GB
 • Back Camera : 20.7MP, up to 5248 x 3936-pixel pictures camera, HDR, face and smile detection, Geo-tagging, auto focus camera with LED flash
 • Front Camera : 5MP, up to 2592 x 1944-pixel pictures
 • Battery : 3030mAh
SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Google Pixel 2 XL bei na Sifa zake

Maelezo ya haraka : Infinix Zero 3 ni flagship smartphone ya mwaka 2015 ni simu bora zaidi ya infinix mpaka sasa. kioo chake kina teknolojia ya Corning gorilla glass.

12. Infinix Note 2 (Ilizinduliwa Novemba 2015)

Sifa Muhimu:

 • Screen Size : 6.0 inches, 720 x 1280 pixels, 245 pixels per inch
 • Body : Plastic
 • Colours : Black , White
 • RAM : 1GB
 • Internal Memory : 16GB
 • Processor : 1.3GHz octa-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6753 chipset, Mali-T760 MP4 GPU
 • Operating System : Android 5.1 Lollipop
 • Back Camera : 13MP, up to 4128 x 3096-pixel pictures, HDR, panorama, autofocus, Geo tagging camera with LED flash
 • Front Camera : 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures
 • Battery : 4000mAh Li-Ion battery

Maelezo ya haraka: Infinix Note 2 ina skrini yenye ukubwa wa inchi 6.0 . Ni simu janja ya kwanza kwenye “Note” series , inakuja na betri yenye ujazo wa 4000mAh.

13. Infinix Hot 2 (Ilizinduliwa Agosti 2015)

Sifa Muhimu:

 • Screen Size : 5.0 inches, 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch
 • Cover : Plastic
 • Colours : White, Black
 • Processor : 1.3GHz quad-core Cortex-A7 CPU, MediaTek MT6582 chipset, Mali-400MP2 GPU
 • RAM : 1GB / 2GB
 • Internal Memory : 16GB
 • Operating System : Android 5.1.1 Lollipop
 • Back Camera : 8MP, up to 3264 x 2448-pixel pictures camera with LED flash
 • Front Camera : 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures
 • Battery : 2200mAh

 

14. Infinix Zero 2 (Ilizinduliwa Juni 2015)

Sifa Muhimu:

 • Screen Size : 5.0 inches, 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch (PPI)
 • Screen Type : Super AMOLED, Corning Gorilla Glass 3, capacitive touchscreen with 16,000,000 colors
 • Body Dimension : 145 x 71.5 x 6.5 mm, 118 grams (Very Slim)
 • Colours : White, Black, Blue, Red, Purple, Gold
 • Body Cover : Kevlar
 • Processor : 2.0GHz octa-core Cortex-A7 CPU, MediaTek MT6592 chipset, Mali 450-MP4 GPU
 • RAM : 2GB
 • Internal Storage : 16GB / 32GB
 • Back Camera : 13MP, up to 4128 x 3096-pixel pictures camera, HDR, Geo-tagging, auto focus camera with LED flash
 • Front Camera : 5MP, up to 2592 x 1944-pixel pictures
 • Battery : 2300mAh Li-Ion battery

Maelezo ya haraka : Infinix Zero 2 ni simu nyembamba , ni simu yenye muonekano mzuri zaidi kutoka Infinix Mobility. Ina skrini ya inchi 5 na 2GB RAM.

15. Infinix Hot Note X551 (Ilizinduliwa Machi 2015)

Sifa Muhimu:

 • Screen Size : 5.5 inches, 720 x 1280 pixels, 267 pixels per inch
 • Cover : Plastic
 • Colours : Grey , Gold , Copper
 • Processor : 1.4GHz octa-core Cortex-A7 CPU, MediaTek MT6592 chipset, Mali-450 GPU
 • RAM : 1GB / 2GB
 • Operating System : Android 4.4.2 KitKat
 • Back Camera : 8MP, up to 3264 x 2448-pixel pictures, HDR, panorama, autofocus, Geo tagging camera with LED flash
 • Front Camera : 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures
 • Battery : 4000mAh Li-Ion battery with Quick Charge.

Maelezo ya haraka : Infinix Hot Note ni simu maarufu na inatumiwa na watu wengi nchini Tanzania. Ilizinduliwa Machi 2015 .

Tumefika mwisho wa listi yetu. Natumaini umefurahia kusoma orodha hii ya simu za hivi karibuni za Infinix nchini Tanzania / Nigeria / Ghana / Kenya.

Kati ya simu hizi za infinix wewe unaipenda ipi?

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako