Sambaza:

Imetoka baada ya uzinduzi wa Tecno boom j8 ambayo inatumia mfumo wa uendeshaji wa Android 5.1 lollipop, Tecno imekuja na maboresho zaidi kwenye simu ya Tecno W4, ni simu ya kwanza kutumia android 6.0 marshmallow kwa upande wasimu za tecno.

Tecno W4 kwa nje ni ya plastiki na inapatikana katika rangi nyeusi na fedha ili kupatana na ladha tofauti, pia ina kioo cha inchi 5.0, resolution bado ni HD katika (720 x 1280 pixels), na 294 PPI (Pixel kwa inchi za mraba)

Tukiangalia kiundani zaidi ndani ya sifa za W4, bila shaka hutaweza kupata mshindi wa tuzo katika vitu muhimu kama uhifadhi, betri na kamera. W4 mpya ina kamera ya 8-megapixel kwa nyuma na kamera ya mbele ya megapixel 2 .

Kamera ya nyuma inaweza kukamata hadi picha za 3264 x 2448-pixel , pia ina vipengele kama HDR, autofocus, Geo-tagging, panorama camera na LED flash

Tecno W4 inatumia quad-core MediaTek MT6580 processor ambayo inapata msaada kutoka kwenye RAM ya GB 1. Uwezo wa uhifadhi wa ndani ni GB 16, unaweza kuongeza hifadhi hadi GB 128 na vyombo vya nje vya hifadhi. W4 inatumia mfumo wa Android 6.0 Marshmallow OS kama ilivyoelezwa hapo awali. Kwa bahati mbaya, HI UI tuliyoiona kwenye Boom j8 haipo katika tecno W4

SOMA NA HII:  Simu 9 Bora za Tecno unazoweza kununua 2017 - Uwezo na Bei

simu-Tecno W4

Nguvu ya Tecno W4 hutolewa kwenye betri ya 2500mAh, hakuna kitu kipya kwenye simu hii kama ilivyo kawaida kwa simu nyingi za bei nafuu. Tecno W4 inapatikana kwa sasa katika maduka ya mtandaoni nchini Tanzania. Bei ya Tecno W4 nchini Tanzania inatofautiana kati ya 170,000 hadi 190,000 Tsh, kulingana na eneo ulilopo.

Angalia Sifa na Uwezo wa Tecno W4 Hapa Chini:

Uwezo wa Mtandao
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
4G Network LTE
SIM Dual mini SIM
Status Inapatikana kwanzia Aprili 2016
Umbo
Vipimo 143.50 x 71.30 x 8.50 mm, 135 grams
Keyboard Touchscreen
Rangi Nyeusi na Fedha
Cover Plastiki
Kioo
Aina IPS capacitive touchscreen na rangi 16,000,000
Ukubwa Inchi 5.0 , 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch (PPI)
Hifadhi na Mfumo Endeshi
Ukubwa wa Nje MicroSD card, up to 128GB
Ukubwa wa Ndani 16GB
Mfumo wa Uendeshaji Android 6.0 Marshmallow
Uwezo wa Processor 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset, Mali-T720 GPU
Uwezo wa RAM 1GB
Sauti
Aina za alert Vibration, MP3 ringtones
Loudspeaker Ndio
Audio port 3.5mm jack
Uwezo wa Mtandao
2G GPRS – hadi 85.6 kbps; EDGE – hadi 236.8 kbps
3G Hadi 42 mbs downlink; hadi 5.76 mbs uplink
4G Hadi 150 mbs downlink; Hadi 50 mbs uplink
WIFI Wi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, Wi-Fi direct
Bluetooth Version 4.1
GPS A-GPS
NFC Hapana
USB MicroUSB v2.0
Kamera
Kamera ya Nyuma 8MP, hadi picha za pixel 3264 x 2448, HDR, autofocus, Geo-tagging, panorama camera na LED flash
Video Ndio
Kamera ya Mbele 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures
Betri
UWEZO 2500mAh Li-Ion battery
Stand-by
Talk time
Music play
Sifa Zingine
Sensors Accelerometer, Proximity
Messaging SMS, MMS, Email, Push Mail, IM
Browser HTML5
Java Hapana
– SNS integration
– MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
– MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player
– Document viewer
– FM radio
– Image viewer and editor
– Voice memo/dial/command
– Predictive text input
– Preloaded apps – Gmail, Gtalk, Google Now, Youtube, Flash Share, Facebook, Palmchat
Bei
Bei Inatofautiana kati ya 170,000 hadi 190,000 Tsh
SOMA NA HII:  Ninunue simu gani kati ya Tecno Camon CX na Tecno Spark Plus K9 ?


Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako