Tecno W3 ni smartphone ya tatu kutoka Tecno kuwa na mfumo wa Android 6.0 nyuma ya Tecno C9 na Tecno W4. Pia ni ya bei nafuu zaidi katika mfululizo wa simu hizo. Tecno W3 ina kioo ch 5-inch na betri yenye uwezo wa 2500 mAh. Pia ina uwezo wa haraka wa 4G LTE unaoitwa Tecno W3 LTE.

Inauzwa kwa bei ya shilingi 230,000 ni chaguo sahihi kwa watanzania wanaopenda simu za gharama nafuu.

Teknolojia

 • GSM: GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
 • 3G: HSDPA 900 /1900/ 2100
 • Aina ya  SIM: Dual-SIM (micro SIM, dual standby)
 • Mfumo wa Uendeshaji: Android 6.0 Marshmallow
SOMA NA HII:  Uchambuzi wa simu ya Infinix Hot S X521 na Bei yake nchini Tanzania

Tecno W3Muundo

 • Upana: 143 x 72 x 8.65 mm
 • Uzito:
 • Ukubwa wa Kioo: 5-inch, 480 x 854 pixels (197 PPI), IPS LCD Capacitive  touchscreen
 • Sensors: Accelerometer, Proximity na Compass

Vifaa

 • Uwezo wa Processor: Quad-core 1.3 GHz Cortex-A53
 • Jina la Processor: Mediatek
 • Graphics Processor:
 • Uwezo wa RAM: 1 GB
 • Ukubwa wa Ndani: 16GB
 • Ukubwa wa Nje: microSD, mpaka ukubwa wa 32GB

Kamera

 • Kamera ya Nyuma : 5 megapixels, 2592 x 1944 pixels, autofocus, LED flash
 • Video recording: Ndio
 • Kamera ya Mbele: 2 megapixels na LED flash

Multimedia

 • Uwezo wa Muziki: AAC, AMR, MP2, MP3, M4A, MKA,
 • Loudspeaker: Ndio
 • Video Support: MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
 • FM Radio: Ndio
SOMA NA HII:  Simu za Lenovo Na Bei Zake Nchini Tanzania

Kuunganishwa

 • Bluetooth: v4.0
 • WiFi: Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, hotspot
 • GPS: Ndio
 • USB: microUSB v2.0

Mipangilio

 • Betri: 2500 mAh
 • Kuzinduliwa: Mei 2016
 • Kuanza kupatikana: Mei 2016
 • Bei: Tsh 180,000

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako