Simu za Mkononi

Simu nzuri zinazouzwa kwa bei nafuu Tanzania

on

Kuna mambo machache ambayo hayapaswi kupuuzwa wakati wa kununua simu ya mkononi mfano unataka kupata simu ya bei ya chini ambayo haiendani na mahitaji yako ya smartphone hii itapelekea kuibadilisha ndani ya muda mfupi sana. Huenda unashangaa ‘ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kununua simu mpya’?

Mambo kama vile kamera, utendaji, kubuni, uimara, betri, mfumo wa uendeshaji ni muhimu sana kuzingatiwa, lakini wakati huo huo, bei na bajeti ni kitu cha kuchukuliwa kwa uzito wa ziada; Je, smartphone ina thamani ya kutosha kuendana na bei yake?

Inaonekana kuwa ni vigumu kutafuta simu yenye kamera nzuri, utendaji wenye ubora,ubunifu wa hari ya juu, uimara mkubwa, betri inayodumu na toleo la hivi karibuni la mfumo wake wa uendeshaji vyote ndani ya simu ya gharama nafuu.

Simu ambazo tutaziangalia hapa ni simu zilitolewa kwajili ya Afrika hasa Tanzania / Kenya. Hii inaweza kuondoa baadhi ya smartphones za kisasa kama Google Nexus 6p na Samsung Galaxy S7 Edge ambazo ni simu zenye nguvu na ubora wa kushangaza ndani yake. Tunazingatia smartphones za bei nafuu, hivyo orodha hii itaongozwa zaidi na Tecno, Infinix, Gionee, na Simu za Huawei.

Bila ya kupoteza muda, haizi ni simu za bei ya chini nchini Tanzania kwa mwaka 2017. Zingatia kuwa simu hizi hazijaweka kwa utaratibu wowote na bei zilizoorodheshwa hapa zinaweza kutofautiana kidogo kulingana na eneo lako.

1.Tecno Camon CX

Tecno Camon C10 – inayojulikana kama Tecno Camon CX ni smartphone ya hivi karibuni kwajili ya selfie kutoka kampuni ya simu za mkononi ya China, inaendana na toleo la chini; Tecno Camon CX Air. Tecno pia ilizindua toleo la Manchester City la simu hii ili kuupa heshimu ushirikiano wao na klabu hiyo ya Kiingereza.

Sifa za Tecno Camon CX
 • Full Metal Body
 • Water Drop Screen
 • Android 7.0 Nougat with HiOS 2.0
 • Full HD display with 2.5D Glass screen
 • MT6750T Octa-Core 1.5GHz
 • 3GB or 2GB RAM with 32GB ROM
 • Dual SIM Card with dual standby
 • Super Screenshot
 • Fingerprint
 • 16.0MP front cameras & 16.0MP FF back camera, with Dual-Flash
 • 4G Connectivity
 • 3200mAh Li-Polymer

2. Infinix Note 4

Infinix Note 4 X572 ilizinduliwa ikiwa na kalamu ya stylus (X-pen) kwa toleo kubwa tu la kifaa hiki; Infinix Note 4 Pro, simu hii ni ya kushangaza kabisa kwa muundo wake na pia ni nafuu. Pia ina fingerprint sensor kwa mbele.

Sifa za Infinix Note 4
 • OS: XOS Based on Android 7.0 (Nougat)
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 4G LTE: YES
 • Screen Size : 5.7 Inches FHD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1080 x 1920 pixels
 • Processor Type: Octa-core CPU, MediaTek MT6753 Chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • External Storage: microSD, up to 128 GB
 • Back / Rear Camera: 13MP camera & Dual LED Flash
 • Front Camera: 8MP
 • Front-placed Fingerprint scanner
 • Battery: 4300 mAh Non-Removable

3. Infinix S2 X522

Infinix S2 ni toleo la chini la Infinix S2 Pro, smartphone ambayo ilizinduliwa nchini Kenya. Infinix S2 ni sawa na S2 Pro. Tofauti pekee kati ya simu hizi mbili ni kwamba S2 inakuja na RAM ya 2GB na hifadhi ya ndani ya 16GB wakati S2 Pro inakuja na (3GB + 32GB).

Sifa za Infinix S2
 • 5.2 inch HD (720p) 2.5D curved Display
 • 2GB RAM
 • 16GB internal storage
 • 1.3GHz Octa-core MT6753 Processor
 • 13MP back camera with Dual LED Flash
 • 13MP + 8MP front cameras with LED Flash
 • 3000mAh Libattery
 • Dual SIM support
 • Android 6.0 Marshmallow with XOS Skin
 • 4G LTE Supported

4. Infinix Zero 4

Infinix Zero 4 ni simu nzuri ya bei ya kati ikiwa na vitu vingi vyenye ubora kama vile umbo la chuma, 3GB RAM na processor nzuri. Zero 4 inatumia Android 6.0 marshmallow lakini unaweza kufanya sasisho hadi Android Nougat. Pia ina toleo la kisasa zaidi linayojulikana kama Infinix Zero 4 Plus

Sifa za Infinix Zero 4
 • OS: Android 6.0 (Marshmallow)
 • Back Fingerprint scanner
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 3G and 4G Network
 • Screen Size : 5.5 Inches FHD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1080 x 1920 pixels (401 PPI)
 • Processor Type: 1.3 GHz Quad-core CPU and MediaTek MT6753 Chipset
 • RAM: 3GB
 • Internal Storage: 32 GB.
 • Back Camera: 16MP camera with LED Flash
 • Front Camera: 8MP with soft flash
 • Battery: 3200 mAh Non-Removable

5. Itel P51 MaxPower

Itel P51 a.k.a MaxPower kutokana na uwezo wake mkubwa wa betri 5,000 mAh ambayo inakupa utendaji bora wa betri katika matumizi ya kawaida na ya standby. Simu hii sio ya kisasa sana kutokana na uwezo na vipengele vyake.

SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Nokia 1 bei na Sifa zake
Sifa za Itel P51 MaxPower
 • OS: Android 7.0 (Nougat)
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 3G Network
 • Screen Size : 5.5 Inches HD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1280 x 720 pixels (267 PPI)
 • Processor Type: Quad-core CPU and MediaTek Chipset
 • RAM: 1GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • Back Camera: 8MP camera with LED Flash
 • Front Camera: 2MP with soft flash
 • Battery: 5000 mAh Non-Removable

6. Tecno Spark K7

Tecno spark ni simu mpya na ya kwanza kwenye mfululizo wa Spark kutoka Tecno, simu ni nzuri upande wa kamera na ina umbo zuri. Pia kuna toleo kubwa katika mfululizo wa Spark linalojulikana kama Tecno Spark Plus K9.

Sifa za Tecno Spark K7
 • OS: Android 7.0 (Nougat)
 • Back Fingerprint scanner
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 3G Network
 • Screen Size : 5.5 Inches HD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1280 x 720 pixels (267 PPI)
 • Processor Type: I.3 GHz Octa-core CPU and MediaTek Chipset
 • RAM: 1GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • Back Camera: 13MP camera with LED Flash
 • Front Camera: 5MP with soft flash
 • Battery: 3000 mAh Non-Removable

7. Infinix Hot 5


Infinix Hot 5 ilitika kama mrithi wa simu ya Infinix Hot 4 lakini inakuja na vipengele vingi zaidi, simu ini tag ya “My Mobile Cinema” kwa ubora wake wa kuonyesha vizuri. Kuna fingerprint scanner kwa nyuma kwenye kifaa ambacho hakipo katika toleo la Lite la simu hii: Infinix Hot 5 Lite.

Sifa za Infinix Hot 5
 • OS: Android 7.0 (Nougat)
 • Back Fingerprint Sensor
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 3G Network
 • Screen Size : 5.5 Inches HD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 1280 x 720 pixels (264 PPI)
 • Processor Type: 1.3 GHz Octa-core CPU and MediaTek Chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • Back Camera: 8MP camera with LED Flash
 • Front Camera: 5MP with soft flash
 • Battery: 4000 mAh Non-Removable

8. Innjoo Max 4 Pro

InnJoo Max 4 Pro ni mojawapo ya smartphone za hivi karibuni za InnJoo na kwangu inaonekana kama smartphone rafiki kwa bei nafuu. InnJoo Max 4 Pro pia ni mrithi wa InnJoo Max 3 Pro. Innjoo pia imezindua simu ya Innjoo 4, kifaa kingine kikubwa na cha bajeti ya kirafiki.

Sifa za InnJoo Max 4 Pro
 • 6.0-inch Touch Display, 1280 x 720 pixels (245ppi)
 • 1.5GHz Octa-core Mediatek Cortex-A53 MT6750, Mali-T860 MP2 GPU
 • 4GB RAM
 • Android 7.0 Nougat
 • 64GB Storage with support for memory card up to 128GB
 • 16MP Rear Camera and 8MP Front Camera
 • 4G LTE (up to 150 Mbps download)
 • 3G and 2G support
 • Front fingerprint scanner
 • 4400 mAh Battery
 • Fast charge (Rapid Charger)

9. Infinix Smart X5010


Infinix Smart ni smartphone ya ngazi ya kawaida na ni smartphone ya kwanza katika mfululizo wa Infinix Smart – mfululizo mpya wa simu za Infinix ambao unalenga soko la gharama nafuu

Simu hii ni mojawapo ya smartphones za bei nafuu ambazo zinatumia Android Nougat. Hii ni faida ya kifaa dhidi ya simu zingine katika jamii hiyo. Watumiaji wanaweza sasa kuona ubora wa Android Nougat bila kuvunja benki.

Sifa za Infinix Smart
 • OS: XOS Based on Android 7.0 (Nougat)
 • SIM Type: Dual SIM (Micro)
 • 4G LTE: No
 • Screen Size : 5.0 Inches HD IPS Touchscreen
 • Screen Resolution: 720 x 1280 pixels
 • Processor Type: Quad-core CPU, MediaTek MT6580 Chipset
 • RAM: 1GB
 • Internal Storage: 16 GB.
 • External Storage: microSD, up to 32 GB
 • Back / Rear Camera: 8MP camera & Dual LED Flash
 • Front Camera: 2MP
 • Battery: 3060 mAh

10. Tecno Phantom 6


Tecno Phantom 6 ilizinduliwa pamoja na mwenzake mwandamizi; Phantom 6 Plus, Phantom 6 imetengenezwa kuendeleza mafanikio ya mtangulizi wa mwaka jana na flagship ya 2015 ya tecno Mobile – Tecno Phantom 5.

Sifa za Tecno Phantom 6
 • 5.5-inch IPS Touchscreen with Full HD 1920 * 1080 pixel resolution.
 • 7.7mm Thickness. Full Metal Body Design.
 • Champagne Gold colour variant.
 • 2.1GHz Deca-core MediaTek Helio X20 Processor.
 • Mali-T720 MP2 GPU.
 • 3GB RAM & 32GB Internal Memory, expandable up to 128GB with microSD.
 • 2700mAh Li-ion Battery.
 • 13MP and 5MP Rear Camera with LED flash, 1080p@30fps video recording.
 • Front camera: 8 Mega Pixels
 • Dual micro-SIM slot.
 • 4G LTE network connectivity.
 • Accelerometer, fingerprint scanner,Proximity Sensor.
 • Android 6.0 Marshmallow with HiOS v1.0.

11. Infinix HOT S X521

Hakuna shaka, Hot S hakika inastahili kupata nafasi kwenye orodha hii, ikiwa na sifa za ubunifu mkubwa na fingerprint sensor hii inafanya simu kuwa nzuri sana na kustahili nafasi katika orodha ya simu bora za mwak 2016.

SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Infinix Zero 5 bei na Sifa zake

Kioo cha Infinix Hot S kina inchi 5.2 ya IPS Full HD, pia kina resolution ya pixels ya 1080*1920, ikiwa na PPI ya pixels 424.

Sifa za Infinix Hot S
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
 • Display: 5.2 inches Full HD (1080 by 1920 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz 64-bit Octa-core MT6753 chipset
 • RAM: 2GB/3GB
 • Internal Storage: 16GB/32GB
 • Rear Camera: 13.0MP with dual LED flash
 • Front Camera: 8.0MP with LED flash
 • Battery: 3000mAh
 • Features: Fingerprint Scanner (0.7 seconds)

12. Tecno Camon C9


Tecno Camon C9 ni mrithi wa simu maarufu ya Camon C8 , kifaa kina maboresho makubwa kwenye kamera na vipengele vingine kwa jumla tofauti na mtangulizi wake.

Kwa inchi 5.5, simu inakupa skrini ya kukuwezesha kuangalia movie ama kucheza game kubwa bila wasiwasi simu imeweka processor kubwa wa uwezo na 2GB wa RAM. Muhimu kusema kuwa skrini iko katika Full HD na resolution ya pixels 1080*1920.

Sifa za Tecno Camon C9
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
 • Display: 5.5 inches Display (1080 by 1920 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz 64-bit Octa-core MT6753 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 13.0MP with LED flash
 • Front Camera: 13.0MP with LED flash
 • Battery: 3000mAh
 • Features: Iris scanner, 4G LTE

13. Infinix HOT 4 X557


Bado tupo kwenye mfululizo wa “Hot”, Infinix Hot 4 ni mgombea mwingine mwenye nguvu ambaye ana vipengele vizuri sana.

Ina kioo cha inchi 5.5 na Quad-core processor huku ikiwa na bei nafuu sana, Infinix Hot 4 ni moja ya simu za kuzingatia. Hot 4 ni simu ya pili ya infinix inayotumia Android 6.0 Marshmallow na XOS pia ina fingerprint scanner (Infinix Hot S ndio ya kwanza).

Infinix Hot 2 ilikuwa smartphone ya kwanza ya Android One kufika Tanzania, simu imekuwa maarufu sana kwa bei yake ya chini. Hot 4 X574 ni maboresha kila njia ya Hot 2 na Hot 3.

Sifa za Infinix Hot 4
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
 • Display: 5.5 inches IPS (720 by 1280 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz 64-bit Quad-core MT6580 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 8.0MP with LED flash
 • Front Camera: 5.0MP
 • Battery: 4000mAh
 • Features: Fingerprint Scanner (0.7 seconds)

14. Tecno Boom J8

Mwaka jana, Tecno ilizindua Boom J7 ambayo ilitengenezwa kama kifaa cha muziki kilicho na vipengele bora vilivyoimarishwa vya muziki na burudani , simu hii ilikuwa na mafanikio makubwa sokoni. Mwaka huu, pia walitoa Boom J8 bado inatumia usemi wa “device for music lovers”

Ina kioo kikubwa cha inchi 5.5, sehemu nyingine ya kuuza ya kifaa ni kuingizwa kwa 4G LTE kitu ambacho sio kipengele cha kawaida katika simu zinazolenga soko la Tanzania.

Simu hii inatumia mfumo wa Android 5.1 lollipop na RAM 2GB na nafasi ya hifadhi ya ndani ya 16GB ambayo inaweza kupanuliwa hadi kufikia 128 GB ikiwa nafasi zaidi inahitajika.

Sifa za Tecno Boom J8
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Display: 5.5 inches HD IPS (720 by 1280 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz 64-bit Quad-core Cortex-A53 MT6753
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 13.0MP with LED flash
 • Front Camera: 5MP
 • Battery: 3000mAh
 • Features: 4G LTE

15. Tecno Camon C7


Tecno Camon C7 imekuwa toleo mini la Camon C9, kipengele kimoja cha Camon C7 kilichotoka kwa mtangulizi wake ni pixels 13 za kamera ya mbele na nyuma, C9 na C7 zote zinafanana sana kwa upande wa muundo lakini Camon C7 inaonekana kuwa ndogo kwa kuzingatia ukubwa wake wa skrini wa inchi 5.0.Ina resolution ya saizi 1280 kwa pixels 720.

Katika vipengele vya uhifadhi, Camon C7 ina uhifadhi wa ndani wa 16GB na chaguo la kupanuliwa hadi 128GB na memori kadi. RAM ya 2GB imewekwa na 1.3GHz quad-core processor, Camon C7 inatumia Android 6.0 marshmallow.

Tecno Camon C7 ina betri ya 3,000 za mAh kama Camon C9, pia ina vifaa vya teknolojia ya kutambua macho ya hivi karibuni, ili kuongeza usalama. Tecno anadai kwamba hakuna kosa hata moja lililogunduliwa baada ya majaribio 100,000!

Sifa za Tecno Camon C7
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
 • Display: 5.0 inches IPS screen(720 by 1280 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz quad-core MT6753 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 13.0MP with LED flash
 • Front Camera: 13.0MP with LED flash
 • Battery: 3000mAh
 • Features: Iris scanner

16.  Innjoo Max 3


Innjoo Max 3 ni mwanachama mpya wa familia ya “Max” na bila shaka ni bora ndani ya mfululizo huo. Max 3 ina maboresho makubwa ya Max 2 kwa upande wa uwezo na sifa.

SOMA NA HII:  Unamiliki simu ya iPhone ? Apple inapunguza kasi ya simu yako

Fingerprint scanner na betri ya ukubwa wa 4,000mAh pia ina skrini ya inchi 6.0.

Max 3 inakuja katika matoleo mawili tofauti, moja na RAM 2GB na uhifadhi wa ndani wa 16GB ni toleo la msingi wakati mtindo na RAM 3GB na 32GB ROM ni Pro version ya Innjoo Max 3.

Sifa za Innjoo Max 3
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Display: 6.0 inches – diamond cut glass with full lamination. (720 by 1280 pixels)
 • Processor: 1.0 Ghz 64-bit Octa-core MT6753 chipset
 • RAM: 2GB or 3GB
 • Internal Storage: 16GB or 32GB
 • Rear Camera: 13.0MP with dual LED flash
 • Front Camera: 8.0MP
 • Battery: 4000mAh
 • Features: Fingerprint Scanner (0.35 seconds), 4G LTE

17. Infinix Note 3 X601


Infinix na Tecno wanatawala orodha hadi sasa, tumeona simu 3 kutoka Tecno na Note 3 X601 inafanya 3 pia kwa Infinix Mobility. Imekuja kama mrithi wa Note 2 X60, Infinix Note 3 ni ya hivi karibuni katika Infinix Note lineup.

Jambo moja kubwa kuhusu Note 3 ni kwamba hutumia mfumo wa aerospace cooling system kuzuia overheating, hii ni jitihada za kupendeza za Infinix kwa kuzingatia kwamba simu zao nyingi zilikuwa na shida ya overheating hasa wakati wa kuchaji.

Pia kuna finger print sensor nyuma ya simu hii, hii inafanya kazi kama njia bora zaidi ya kuifungua simu na pia kwa kudhibiti vibali vya apps.

Sifa za Infinix Note 3
 • OS: Android 6.0 Marshmallow
 • Display: 6.0 inches Full HD (1080 by 1920 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz 64-bit Octa-core MT6753 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 13.0MP with dual LED flash
 • Front Camera: 5.0MP with LED flash
 • Battery: 4500mAh
 • Features: Fingerprint Scanner (0.7 seconds)

18. Tecno L8


Tecno imeingia kwenye orodha tena kwa simu yake ya monster kwa suala la uwezo wa betri- Tecno L8.

Betri ya L8 ya 5,050 mAh imetokea kuwa kipengele cha pekee cha kuvutia kwenye simu hii, ina kioo cha inchi 5.0 na resolution ya saizi ya 720*1280 inatumia Android 5.1.

Inakuja na RAM ya 1GB, hakuna fingerprint scanner, nafasi ya hifadhi ya ndani ya 16GB na kamera duni ya 8.0MP.

 Sifa za Tecno L8
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Display: 5 inches HD
 • Processor: 1.3Ghz Quad-core MT6580 chipset
 • RAM: 1GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 8.0MP with LED flash
 • Front Camera: 2.0MP
 • Battery: 5050mAh
 • Features: NONE

19.  Huawei Y6 Pro (G Power)

Huawei Y6 Pro bado ni kifaa kingine kwenye orodha yetu kilicholenga kuwa na nguvu ya betri , Huawei iliweka mkazo juu ya betri ya simu wakati wa uzinduzi wa simu hii.

Hakuna chaguo la uunganisho la 4G LTE, fingerprint scanner, au LED flash ya mbele kwenye simu hii lakini hiyo haimaanishi simu haifai kuangaliwa.

 Sifa za Huawei Y6 Pro
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Display: 5 inches HD (720 by 1280 pixels)
 • Processor: 1.3Ghz Quad-core MT6580 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 13.0MP with LED flash
 • Front Camera: 5.0MP
 • Battery: 4000mAh
 • Features: NONE

20.  Tecno L8 Plus


Tecno L8 Plus ni zaidi ya kaka kubwa kwa Tecno L8 zaidi ya maboresho. Hata hivyo, usidanganywe na “Plus” kwenye jina, mambo pekee yaliyobadilishwa hapa ni ukubwa wa skrini na RAM.

Wakati Tecno L8 inatumia skrini ya inchi 5, toleo la “Plus” lina screen kubwa ya 5.5 inch na resolution sawa. RAM kwenye L8 Plus ni 2GB ambayo ni 1GB kubwa zaidi kuliko RAM iliyopatikana kwenye toleo la msingi la Tecno L8. Hakuna kitu kingine kinachotofautisha L8 Plus na L8.

 Sifa za Tecno L8 Plus
 • OS: Android 5.1 Lollipop
 • Display: 5.5 inches HD
 • Processor: 1.3Ghz Quad-core MT6580 chipset
 • RAM: 2GB
 • Internal Storage: 16GB
 • Rear Camera: 8.0MP with LED flash
 • Front Camera: 2.0MP
 • Battery: 5050mAh

Kwa hiyo kuna orodha ya kina ya simu bora za Android ambazo ziko katika soko la Afrika. Orodha hii itarekebishwa kwa usahihi kama simu mpya zitaingia kwenye soko la Android hivyo hifadhi ukurasa huu kujua sasisho mpya.

Ikiwa unaamini kuna simu tumeiacha ambayo unahisi inapaswa kuingizwa kwenye orodha, usisite kutuambia kwa kuacha maoni katika sehemu ya maoni hapa chini, pia shirikisha makala hii kwenye mitandao ya kijamii unayoipenda, ni njia tu ya kuonyesha shukrani .

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.