Simu

Simu mpya ya Google Pixel 2 ina dosari. Je! Bado unataka kuwa na simu hii?

Hii ni wiki mbaya kwa Google, kutokana na simu mpya za google Pixel.

Baada ya kushughulikia matatizo ya skrini yaliyotokea kwenye PIxel XL, suala jingine limeibuka. Wakati huu, watumiaji wanalalamika kuhusu sauti isiyo ya kawaida inayotoka kwenye spika za Pixel 2.

simu mpya

Unaweza kusikiliza sauti hiyo hapa.

Mtandaoni, kuna mtu aliweka njia ya kutatua dosari hiyo kwa kusema-unapaswa kuzima NFC-lakini hebu fikiria kuwa simu hii imezinduliwa nchini Tanzania, au una fursa ya kuipata, bado utataka kuwa na simu hii licha ya kuwa na dosari ?

SOMA NA HII:  Muonekano wa tovuti ya Google katika simu janja umefanyiwa mabadiliko
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.