Simu za Mkononi

Ifahamu Simu Mpya ya Tecno Camon CM Bei na Sifa Zake

on

Simu ya Tecno Camon CM ni ongezeko la hivi karibuni kwenye mfululizo wa simu za TECNO zilizowekeza zaidi upande wa kamera pia ni mrithi wa simu maarufu ya Camon Cx . Hii ni smartphone ya kwanza ya TECNO kuja na bezel-less, kwa uwiano wa 18: 9 , mfumo ambao ulikua maarufu sana kwenye simu janja mwaka wa 2017.

Kama ulivyotarajia, Camon CM inakuja na vipengele bora zaidi, lakini kwa upande wangu sijaona tofauti kubwa kwenye simu hii ya Camon CM ukilinganisha na mtangulizi wake. Bei ya CM inaanzia Tsh 300,000 ambayo ni bei iliyopendekezwa ila inaweza kuwa juu ya hapo kutokana na eneo ulilopo.

Tecno Camon CM

Uwezo wa Tecno Camon CM:

 • Kioo: 5.7′ inches (1440 x 720px resolution).
 • Mfumo wa Uendeshaji: Android 7.0 Nougat with HiOS
 • Processor: 1.3 GHz Quad-Core Processor MediaTek Processor
 • Memori:  2GB RAM, 16GB ROM.
 • Kamera: Mbele — 13MP | Nyuma — 13MP.
 • Betri: 3000mAh Li-Po
SOMA NA HII:  Ifahamu simu ya Infinix Zero 5 bei na Sifa zake

Kitu gani kipya kwenye Camon CM :

Tukiangalia sifa na uwezo wa simu ya Camon CM  na kulinganisha na mtangulizi wake , kuna utofauti ndogo sana, simu zote zina mwonekano na umbo zuri ila CM imeboreshwa upande wa kamera na betri.

Kwa #300,000 , utapata simu janja yenye kioo chenye inchi 5.7, corning gorilla glass 3 protection , Quad-core MediaTek chipset , 2GB RAM , uhifadhi wa ndani wa 16GBna betri yenye uwezo wa 3000mAh. Simu ya CM inakuja na kamera yenye 13MP mbele na nyuma ikiwa na LED flash na f/2.0 lens.

Tecno Camon CM Tecno Camon CX
Kioo 5.7 inches 5.5 inches
Ulinzi wa Kioo
Corning gorilla glass 3
Processor 1.4Ghz Quad-core MediaTek MT6737 1.5Ghz Octa-core Mediatek MT6750T
GPU Mali-T720 MP2 Mali-T860 MP2
RAM 2GB 2GB
Uhifadhi wa Ndani
16GB 16GB
Kamera ya Mbele 13 MP (f/2.0, LED flash, Screen flash) 16.0 MP w/ Dual-LED Flash
Kamera ya Nyuma 13 MP (f/2.0, Quad-LED flash, Autofocus, HDR) 16.0 Mega Pixel w/ four LED flashlights
Mfumo wa Uendeshaji Android 7.0 Nougat Android 7.0 Nougat
Betri 3000mAh 3200mAh
4G LTE Ndio Ndio
SOMA NA HII:  Simu 10+ bora za Tecno na Bei zake nchini Tanzania

Angalia uchambuzi wa Fisayo Fosudo kuhusu simu ya Camon CM :

Sifa Kamili na Uwezo wa Tecno Camon CM

TAARIFA ZA JUMLA:

 • Ilizinduliwa: Januari 2018.
 • Inapatikana: Ndio.
 • SIM: Dual SIM.
 • Mfumo wa Undeshaji: Android Operating System (Android 7.0 Nougat) with HiOS.
 • Fingerprint: Ndio.

MTANDAO:

 • Teknolojia: GSM / HSDPA / LTE.
 • 2G Bands:
 • 3G Bands:
 • 4G Bands: LTE .
 • Kasi ya Mtandao: HSPA, LTE.

UMBO & KIOO :

 • Aina: IPS LCD Touchscreen
 • Ukubwa: 5.7 inches.
 • Resolution: 720 * 1440 pixels
 • Ulinzi: Corning Gorilla Glass.
 • Dimensions: 152.2 x 71.7 x 5.6 mm.
 • Weight: –
 • Rangi: Nyeusi, Blue, Dhahabu
SOMA NA HII:  Fahamu Sifa na uwezo wa simu mpya za Tecno mwaka 2017

VIFAA :

 • Chipset: Quad-core MediaTek MT6737
 • Kasi ya Processor: 1.4GHz.
 • CPU: Quad-core Cortex-A53.
 • GPU: Mali-T720 MP2.

UUNGANISHO :

 • WLAN: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
 • Bluetooth: v4.2.
 • Bluetooth Profiles: A2DP, LE.
 • GPS: Ndio, na A-GPS.
 • USB: microUSB 2.0
 • NFC: Hapana.
 • FM Radio: Ndio.

MEMORI :

 • RAM: 2GB.
 • Uhifadhi wa Ndani: 16GB.
 • Uwezo wa Nje: unaweza kuweka microSD.

KAMERA :

 • Kamera ya Nyuma: 13 MP (f/2.0, LED flash, Screen flash.)
 • Uwezo: 1080p@30fps video recording.
 • Kamera ya Mbele: 13 MP (f/2.0, Quad-LED flash, Autofocus, HDR)

BETRI :

 • Uwezo: 3000mAh.
 • Aina: Li-ion battery
 • Kuchaji Haraka:
 • Standby Time:
 • Talk time:
 • Music Playback:

SIFA ZINGINE :

 • Sensors:
  • Accelerometer.
  • Ambient Light.
  • Proximity.
  • Compass.
 • – MP4/DivX/XviD/H.265 player
  – HTML5 Browser
  – MP3/WAV/eAAC+/FLAC player
  – Photo/video editor
  – Document editor.

Una maoni gani kuhusu simu ya Tecno Camon CM ? Tuandikie maoni yako hapa chini.

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.