Simu

Kama fedha sio kitu, Simu hii inaweza kuwa kwa ajili yako

Vertu Constellation ni simu iliyotengenezwa kwajili ya matajiri. Simu hizi zinangenezwa katika nchi ya Uingereza, simu hii imetengenezwa kwa aluminium, na ngozi kwa nyuma ambayo itatoka kwa “mtaalamu, kwenye mashine zinazomilikiwa na familia moja huko nchini Italia.”

Sifa nyingine ni pamoja na kuwa na  “sapphire crystal display” na kitufe kimoja cha rubi kinachokuwezesha kupata huduma ya “Vertu’s Concierge Service”- kama unahisi msaidizi wako wa digitali ni bora zaidi , vipi kuhusu huduma binafsi?

Baadhi ya sifa za Vertu Constellation ni pamoja na:

 • 5.5-inch WQHD AMOLED display
 • Android 6.0.1 Marshmallow
 • Qualcomm Snapdragon 820 processor
 • 4GB of RAM, 128GB of onboard storage and a microSD card slot
 • A 3220mAh battery
 • A 12MP rear camera that supports up to 1.55 micro pixels for those low-light shots
 • USB Type-C port
 • Wireless charging
 • Fingerprint reader
 • NFC for Android Pay
 • Secure connections via Silent Circle
 • Dolby Digital Plus-supported sound for its front-facing speakers on the top and bottom

Bei ya simu hii bado haijatangazwa na Vertu, lakini kwa mwenendo wa kampuni hii hapo awali, Simu hii ya kifahari itauzwa si chini ya $ 8,000 (takriban TSH.17892800). Kama umeipenda, unaweza kujiandikisha kwajili ya kununua simu hii kwenye tovuti ya kampuni, lakini kama umeiona bei yake na ukaingiwa na mawazo ya kununua Toyota Vitz, simu hii sio kwa ajili yenu.

SOMA NA HII:  Apple Music kwajili ya Android sasa imepata usaidizi wa Google

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.