Je! Hii inaonekana kama Simu ambayo inaweza kushindana na Apple & Samsung?


Huawei imezindua kifaa chake ambacho ni flagship:

Huawei
… Na kama flagships zingine tulizoziona wiki chache zilizopita, simu hii ina uwezo mkubwa.

…Na ina muonekano wa kipekee unaovutia.

Kesi ya mgogoro wa utambulisho.

Inakuwaje Huawei! licha ya kuwa na vipengele na uwezo unaofanana na simu kutoka kwa makampuni mengine kama Samsung na iPhone, Huawei ina muonekano mzuri wa kioo, na seti tatu za kamera za kipekee kwa nyuma, lakini kwa maoni yangu, P20 pro ni nyota wa show kwa kamera zake na betri ya 4000mAh tofauti na 3400mAh ya simu ya P20.

Unaweza kuangalia sifa zake zingine hapa chini:

Sifa Kamili za Huawei P20 + P20 Pro

Kikundi Huawei P20 Huawei P20 Pro
Mfumo wa Uendeshaji Android 8.1, EMUI 8.1 Android 8.1, EMUI 8.1
Processor Huawei Kirin 970 Huawei Kirin 970
RAM 4GB 6GB
Hifadhi ya ndani 128GB 128GB
microSD Haipo Haipo
Betri 3,400mAh non-removable
Huawei SuperCharge
4,000mAh non-removable
Huawei SuperCharge
Kioo 5.8-inch 2240×1080 RGBW LCD
16:9 aspect ratio
6.1-inch 2240×1080 OLED
18:9 aspect ratio
Kamera ya  Mbele 24-megapixel
f/2.0
24-megapixel
f/2.0
Kamera za Nyuma 20MP (mono) f/1.6 + 12MP (RGB) f/1.8
1.55-micron pixels
40MP RGB (1/1.7-inch sensor) + 20MP mono
8MP f/2.4 OIS 3X telephoto
Sehemu ya Headphone Haipo Haipo
Wireless charging Hapana Hapana
Fingerprint scanner Mbele Mbele
Utambuzi wa sura (Face recognition) Ndio Ndio
Kuzuia Maji IP53 (splash resistant) IP67 (water + dust-resistant)
Rangi Twilight, Black, Midnight Blue, Pink Gold Twilight, Black, Midnight Blue, Pink Gold
Uzito 165g 180g
Vipimo 149.1 mm x 70.8 mm x 7.65 mm

Hapa swali ni: Je simu hii ni nzuri vya kutosha kushindana kwenye uwanja wa Samsung na Apple?

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA