Klabu ya Simba SC imeshalipia Kodi kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ,Simba imelipa zaidi ya Sh milioni 80 kwajili  ya Nyasi Bandia zilizo kuwa bandarini.

Baada ya hapo, kinachofanyika ni kumalizia masuala kadhaa yakiwepo ya kuzitoa nyasi hizo bandarini.

Uongozi wa klabu ya Simba umetoa taarifa hiyo kupitia mtandao wao wa wakijamii wa instagram

simbasctanzania Taarifa Rasmi kuhusiana na Nyasi Bandia, Mpaka sasa Tumeshalipia Kodi yote ya Nyasi Bandia, Kinachoendelea sasa ivi ni Wakala wetu kumalizia taratibu za Kutoa Container zenye nyasi hizo bandarini kwenda kuwekwa rasmi katika uwanja wetu wa Bunju.

 

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako