Download

Shusha (Download) iOS 11 Official Wallpaper Kwenye Simu yoyote ile!!

iOS 11 bado ipo katika beta, lakini wallpaper zimeanza kujitokeza katika pori. Kama umezipenda wallpaper hizi na wewe ni mtumiaji wa Android (Usione aibu – kukubaliana na hilo).

 

Ama unataka kujaribu kupata radha ya OS mpya kwenye simu yako ya iPhone, sasa unaweza kushusha(download) picha hizo.

Kushusha (download), fungua picha hiyo hapo juu na kisha bonyeza “download.”

Au unaweza kushusha kwa kubonyeza “link” hii hapa chini:

Download link

Naweza kupata maoni yako kama hivi—”Naipenda hii wallpaper“— kutoka kwa mtumiaji wa Android?

Mada zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako