Sambaza:

Shule ya msingi Mbalawala iliyopo manispaa ya Dodoma imefungwa kwa muda usiojulikana na wazazi kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa walimu na wanafunzi kuwa mbumbumbu, shule hiyo ina wanafunzi 900 na walimu 3.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako