Home Nyingine Shangwe Zimeishia Pabaya !! Angalia Kijana Akifanya Vitu Vya Ajabu Baada ya Kuvuta Bangi

Shangwe Zimeishia Pabaya !! Angalia Kijana Akifanya Vitu Vya Ajabu Baada ya Kuvuta Bangi

0
0

Kama ulikua na huamini kuhusu madhara ya madawa ya kulevya, pengine video hii inaweza kubadilisha mtazamo wako.

Inashangaza sana, video hii imesambaa mtandaoni inamwonyesha kijana kutoka Nigeria akifanya vitendo vya ajabu mala baada ya kuvuta bangi.

Jina la kijana huyo halikufahamika pia haijajulikana kama alipata msada kutoka kwa Rafiki zake, ila video imesambaa sana na watu wengi wamewalaumu rafiki zake kwa kuchukulia kitendo hiki kama mzaha badala ya kumsaidia.

Angalia Clip hapa chini:-

Jihadharini na Madawa ya Kulevya! – Yataishia kukuharibu na kusababisha madhara kwenye maisha yako.

Tone maoni yako.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *