Shabiki wa klabu ya Yanga aliye Bet na kuliwa mtaji wake wote, Hatimaye apewa mtaji na Ommy Dimpoz

Comment

Shabiki wa klabu ya Yanga aliye Bet na kuliwa Tsh 50,000/= kwenye mchezo wa Simba na Yanga hatimae amepatikana na kama kawaida ahadi ya Ommy Dimpoz ya kumsaidia shabiki huyo ipo pale pale.

Ommy Dimpoz ambaye yupo Marekani amewakilishwa na Shilawadu amekabidhiwa Tsh 100,000/= na kuandika haya kwenye mpage yake ya Instagram.

“Asante sana Wawakilishi Wangu Shilawadu Wameshamfikishia Mzigo bwana KANJUNJU 😀😀 bado koti la njano ntakuja kumkabidhi mwenyewe #SimbaNguvuMoja”

 

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!