Haha! Angalia Shabiki Wa Arsenal Akilia Kutokana Na Ubovu Wa Timu Yake ( Video)

Comment

Mwenendo mbaya wa timu ya Arsenal umepelekea timu hiyo kushuka mpaka nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Hii ni video inayomwonyesha shabiki wa kufa na kupona wa Arsenal akilia baada ya timu yake kufungwa 3 -1 na West Brom wiki chache zilizopita. Video ya shabiki huyu akiwa amevalia jezi ya Arsenal imekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii.

Angalia video hapa chini:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post