Magazeti na machapisho yote ya habari nchini Tanzania yatasajiliwa upya kuanzia tarehe 23 mwezi Agosti hadi Octoba 15 ,2017 ikiwa ni utekelezaji wa kifungu cha tano (e) cha Sheria ya Huduma za habari 2016.

Agizo hilo lilotolewa na Idara ya Habari Maelezo kupitia Mkurugenzi wake ambaye pia ni msemaji mkuu wa serikali Dr. Hassan Abbas, linayahusu magazeti na machapisho yote ya habari ambayo yalipatiwa leseni kwa mujibu wa Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 ambayo tayari imefutwa. Soma taarifa kamili hapa chini;

Sambaza:

Written by Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako