Series gani unaipenda na hutaacha ipenda?

Habari wanamediahuru?

Kwa wale wapenzi wa series kama mimi najua kuna series nyingi utakuwa umeangalia ila kuna moja hiyo unaipenda na huta acha kuipenda.

Tuanze na mimi……..mie naipenda “the originals” maana ni zaidi ya series kwangu.

Wewe je unaipenda ipi na kwa sababu gani…

SOMA NA HII:  Ifahamu Simu ya Tecno S1 na Bei yake Nchini Tanzania

COMMENTS

WORDPRESS: 0