Habari za Teknolojia

Sayari 10 zenye dalili ya uhai zagunduliwa

Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyingine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.

Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inaonyesha sayari kumi zenye miamba ambazo zipo hatua chache kutoka kwa mkusanyiko wa nyota.

Sayari hizo ambazo zinatoshana na dunia, zote zipo nje ya jua katika mkusanyiko huo wa nyota.

Darubini hiyo ya Kepler sasa imegundua jumla ya sayari 50 katika maeneo tofauti yenye uhai angani.

SOMA NA HII:  Hii ndio Teknolojia ya kutambua' wapenzi wa jinsia moja

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.