??: Je, unajua Sasa Unaweza Kutuma Ujumbe wa Sauti kwenye Whatsapp Kutumia Ok Google?


Ok, Google:

Google imeongeza kipengele kidogo lakini kizuri kwenye Google assistant- uwezo wa kutuma ujumbe wa sauti kwenye Whatsapp kwa kutumia amri za sauti kwenye Google Assistant.


Kwa nini nimeipenda hii, unauliza? Kwa sababu si lazima tena kushikilia kitufe cha mic ili kutuma ujumbe wa sauti kwenye Whatsapp.

Hii pia inamaanisha kwamba mikono yangu itakuwa huru kufanya mambo mengine ???

Kutuma ujumbe, fungua Google assistant na sema amri hii:

Send a voice message

Google itaomba mpokeaji na kuanza kurekodi.

Unaweza pia kufuta au kurekodi ujumbe mwingine wa sauti kabla ya kutuma.

Mimi Nimeipenda

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA