Nyingine

Sanamu ya Kanye West inayofanana na Yesu akiwa msalabani yatengenezwa huko Hollywood

Sanamu ya Kanye West imejengwa kwenye kona ya Hollywood Boulevard na La Brea Avenue, nje ya Dolby Theatre jijini Los Angeles, California. Sanamu hiyo ya dhahabu, imeundwa na msanii anaitwa Plastic Jesus, inaonyesha  Kanye akiwa amevaa taji la miiba, mikono yake imenyoshwa, minyororo ya dhahabu shingoni mwake na jozi ya Yeezy sneakers. Bamba la msingi wa sanamu hiyo limeandikwa “False Idol.”

Msanii huyo kwenye taarifa yake amesema:

“We have built Kanye West into some kind of god-like idol, I believe he’s a genius when it comes to writing and producing but he’s human. When we build people into idols we have expectations, and if they fail to meet those expectations we crucify them.”

“We saw this last year when Kanye was admitted to a medical facility to get treatment for stress, anxiety and paranoia. We need to take a step back and remember our idols are only human and as such we need to give them space to err.”

 

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close