Nyingine

Rose Ndauka amepata shavu jipya la kutangaza East Africa Radio.

Rose Ndauka ambaye awali alikuwa akitangaza Times FM kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwaka jana sasa awa mtangazaji mpya wa East Africa Radio.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka:

Nafurahi kuwa mmoja wa team hii mpya ya #Eastafricaradio.Ni planetbongo mpya 2017.

 

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close