Nyingine

‘Ronaldo amepoteza hamu yake ya magoli’- Meneja wa zamani wa Madrid amesema

Cristiano Ronaldo amepoteza kabisa “njaa yake” ya magoli, kwa mujibu wa kocha wa zamani wa Real Madrid Bernd Schuster. 

Staa huyo kutoka nchini Ureno amekuwa mchezaji maarufu sana na mwenye kiwango kikubwa kwa takribani miaka kumi sasa, kwa mara ya kwanza alifikisha magori 20 na zaidi akiwa na Manchester United msimu wa 2006-07.

Uhamisho wake kwenda Uhispania mwaka 2009  ulivunja rekodi ya uhamisho pia ulimsaidia kupeleka mchezo wake kwenye ngazi nyingine.

Hata hivyo kiwango chake kimeshuka msimu huu na amefunga goli moja tu katika michezo mitano iliyopita katika ngazi ya vilabu , Schuster amesema hamu yake ya kufunga magori mala kwa mala na kuwa bora kuliko wengine imeanza kupungua.

“I have not seen that absolute hunger with him,” the German, who has spent time at Santiago Bernabeu as a player and coach, told Welt.

“There were times when his team led 4-0 and he still wanted to score two goals so badly. He was kind of aggressive about that, another goal or at least a penalty. But that’s over now.”

 

SOMA NA HII:  Teknolojia 5 Maarufu kwenye Magari Kwa Sasa

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako