Nyingine

Romy Jones vs Harmonize vs Jux- Nani ametisha kwa style hii ya nywele?

Tunawapenda Mastaa wa Tanzania na pia tunapenda mitindo ya maisha yao.

Tumezoea kuwaona akina The Game, Quincy au Omarion na style hii ya nywele lakini Mastaa wa Bongo nao wameona wasikae mbali.

Tunapenda kulinganisha na tunataka wewe utusaidia ni nani kapendeza zaidi kwa style hii ya nywele Romy Jones, Harmonize ama Jux?

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close