Home Nyingine “Romelu Lukaku anatakiwa kuheshimu mkataba wake”- Amesema kocha wa Everton| Je ajiunge na Chelsea?

“Romelu Lukaku anatakiwa kuheshimu mkataba wake”- Amesema kocha wa Everton| Je ajiunge na Chelsea?

0
0

Romelu Lukaku anatakiwa kuheshimu mkataba wake richa ya kukataa mkataba mpya wenye maslahi zaidi amesema kocha wa Everton, Ronald Koeman.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 siku ya jumanne alitangaza kuwa hata sign mkataba mpya wa miaka mitano unaokadaliwa kuwa na thamani ya £140,000 kwa wiki.

Mchezaji huyu kutoka Ubelgiji pia amehoji kama Everton wana nia kama yake ya kucheza Champions League football.

“Everyone knows what can happen in football but you need to respect your contract,” said Koeman.

“Of course I am not happy about that interview. If Everton is not a club with a lot of ambition I would not be manager.”

“He has no problem. He is training how he needs to train, his behaviour – except some quotes in this interview – is what I like from the player and there is no reason to put him out of the team.”

“The team needs Rom, and Rom needs the team to score goals.”

“But I am not so afraid about his situation because the player has more than two years on his contract.”

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *